Benjonathantz
JF-Expert Member
- Apr 16, 2014
- 237
- 52
Mimi kijana ninayependa kufahamu zaidi juu ya social network App...
Hivi ni hatua gani ninazo paswa kuzifuata ili kusajili mtandao mpya wa kijamii.
Na je, katika suala la malipo likoje?
Hivi ni hatua gani ninazo paswa kuzifuata ili kusajili mtandao mpya wa kijamii.
Na je, katika suala la malipo likoje?