Kapande
Member
- Dec 19, 2012
- 53
- 20
Mm ni mwanaume miaka 30 nimeoa nna mtoto 1,bado nasoma masters chuo kimoja hapa Dodoma,
mwaka huu mwez wa 4 nlikutana na msichana m1 nikiwa na rafiki yangu tukiwa kwenye gari rafiki yangu alinishawishi sana tusimame na kuongea naye baada ya mm kumsifia yule demu. Tukasmama na kumsimamisha yule manzi jamaa alikuwa anajuana naye,bas akatuelekeza wap ofice yake ilipo ili kesho yake tumtembelee kwa jthada kubwa za rafiki yangu kesho tukaenda ofisin kwake .tulipofika rafk yangu akaondoka na gari na kuniacha naye kwa ushawishi kwamba nshindwe mwenyewe.kweli nikamtongoza akakataa kwa muda but nikapata sim namba yake tukaendelea na mawasliano mpaka akakubali
4weeks later nikatembea naye tena nymbani kwangu baada ya wife kwenda likizo,kiukweli huyu mwanamke anajua malove sana.ok nilifanya makosa makubwa sana lakini haya ndo yanayonitesa
1.Ili kumpata skumwambia marital status yangu
2.Nili du naye bare mbali nayeye kusisitiza tuvae condoms sasa ameconceive preg ya 1 month sasa
3.Sasa anang'ang'ania aje home na wife amerudi namkatalia kwa kumwambia kuna watoto wa dada yangu nna kaa nao hivyo si heshima kwa yy kuja kwa sasa.Sababu hii muda unavyokwenda inapoteza uhalali kwake na kumwambia ukweli jinsi nimwonavyo sasa itakuwa balaa kias inaweza fika kwa wife kwa mtiti atakaouleta.Lakini pia aweza fanya abortion ambayo mm staki,
Sasa sielewi nfanyeje kwan naona siku anaweza kuja hom.naomba ushauri wana jf