cha kuniacha kwenye mataa ni nini.....?...njoo basi leo pale khan tule vyuku....au unaenda kupiga uji wa shanga kwanza ndo uje....?
Mgeni mbona tunaanza kuwa na wasi wasi na wewe kwa dada zetuSawa wakuu, upendeleo kama kawa huwa upo hasa kwa akina dada, hahahaa
Fikia Florida Delux ,nenda Florida Bar karibia na round about ya kuelekea stand ya magari ya mkoa watakuelekeza bei ni kama 25,000/= ukitaka ya juu kidogo ipo kaloleni inaitwa Bistro ni kama 30,000/=
Mgeni mbona tunaanza kuwa na wasi wasi na wewe kwa dada zetu
Tutawaambia aise kuna kipanga katoka dar kwa hiyo wawe makini sana
Hahahah right on Mr Rocky, na pia kujua age itasaidia pozi la upokeaji!!
Ni kawaida mkuu Mr Rocky usiogope, huo ndio ujirani mwema, sina hiyo tabia mkuu, nikutoe wasiwasi.
Sema jinsia yako basi,nifanye mchakato wa kukupokea vizuri mpaka Naura spring
Fikia ****** bar! Ni pazuri sana hasa wakati wa jioni.Pa kufikia, sijajua ni wapi ila nitafikia nyumba za wageni, I mean hotel, guest etc. Sina uenyeji sana Arusha, mara ya mwisho nilipitia hapo 2008. Unaweza kunipa hints kuhusu sehemu nzuri za kufikia. Thanks
Karibu sana Simplicity, ukifika stand utamkuta Erickb52 manake ndio kazi yake kupokea wageni!Sweetlady, ndio hivyo leo nipo A town.
Kweli kabisa babe maana kam ani mzee shikamooo nyingi
Kijana mambo zinakuwa nyingi
Mtoto sasa huyo unamwacha mbali kabisa
Safi sana huyu jamaa sijui katorokea wapi
ruttashobolwa klashasema ni dume bana
Imekula kwa wengi aise
Wengine walitarajia awe mrembo hapa
babe anakufaa sana wewe maana ni mwanaume unafaa ukampokee na umuonyeshe viwanja aise
Hata mi nashangaa watu tushakula make up kuja kumpokea af katoweka!! Lolz
Usiogope umri ni number tuu.
cha kuniacha kwenye mataa ni nini.....?...njoo basi leo pale khan tule vyuku....au unaenda kupiga uji wa shanga kwanza ndo uje....?
Karibu sana Simplicity, ukifika stand utamkuta Erickb52 manake ndio kazi yake kupokea wageni!
Fikia ****** bar! Ni pazuri sana hasa wakati wa jioni.