Nipokeeni wadau

Kumbe ni mrembo sema na status yako kabisa maana kuna vijana wengi humu magoti yameota sugu kwa ajili ya maombi
mkuu unataka unipatie huyu mrembo nini? ila mwambie asiende kwenye lili jukwaa la love connect maana , kama ulivyosema, viganja vya vijana vimeota sugu wakitafuta wenza
 
mkuu unataka unipatie huyu mrembo nini? ila mwambie asiende kwenye lili jukwaa la love connect maana , kama ulivyosema, viganja vya vijana vimeota sugu wakitafuta wenza
Hhhahhaaaa kila la kheri mkuu ukute ndio riziki yako.........first impression matters tafuta right approach
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom