lakini vipi kuhusu kaka yako Ruta?!!!
basi poa si mbaya nikaanza kupata utambulisho kwa kuanzia na familia yako ya humu jukwaani. Kaka, dada, mjomba, anti nk.....
Nisije nikamzungumzisha vibaya mama mkwe!
Thanx na nafurahi zaidi kupata mpenzi mpya humu.
it might be me?
Ndo mana nakuambia wewe ni chaguo langu.
Nakupenda sana hadi Wajad anaona wivu.
kwani babu Asprin anahusikaga na nini TANMO?
Babu Asprini chondechonde mi kidume, mme mtarajiwa wa mtu!