Nipokeeni please

karibu thana ila jichunge na magume gume, hawakawii kukuwekwa kwenye chupa
 
Nishapata mchumba anaitwa Madame B unaonaje ukifanya utaratibu wa usajili?!

Navyomjua mimi huyo ni mke tena wa ndoa kabisa wa mwanasheria mmoja wa kihaya kwa jina la Ruttashobolwa na sijawahi pata taarifa ya kuachana kwao, ngoja niipeleke kwenye kamati ya screening ili Mamndenyi afanye kazi yake
 
Last edited by a moderator:

Madame B please njoo unijibie haya.
 
Last edited by a moderator:
Karibu sana chilli mimi ndio mhasibu wa Chit chat tuma ada ya usajili tshs 200,000 vodacom mpesa namba ya kutuma nita ku pm,fanya haraka maana waombaji ni wengi na nafasi ni chache
 
Navyomjua mimi huyo ni mke tena wa ndoa kabisa wa mwanasheria mmoja wa kihaya kwa jina la Ruttashobolwa na sijawahi pata taarifa ya kuachana kwao, ngoja niipeleke kwenye kamati ya screening ili Mamndenyi afanye kazi yake

Nilikupa kadi ya mwaliko Baba V?
Acha kuniharibia mingo bhana.
 
Last edited by a moderator:
Ndio utanifaa mpenzi.
Ila napenda kujua Asset zako

Mi sina asset za kutisha mpenzi.
Nina vinyumba viwili Mbweni na kamoja ka goroga tatu hapo Samaki Samaki.
Nina viboti vitatu vya uvuvi vipo mwaloni Mwanza na tugari tutano Prado 2, Nissan hardbord 2 na kahama nnakokatumia mimi.
Haka kahekopta wanakotumia hawa jamaa wa pipo pawa pia nimewakodishia mimi. Vijiasset vingine ni vya kawaida tu mpenzi!!
 
Ndo mana nakuambia wewe ni chaguo langu.
Nakupenda sana hadi Wajad anaona wivu.
 
Last edited by a moderator:
mi nakupenda hadi Baba V anakuonea gere.

Basi tuweke tangazo la Pingamizi ktk ndoa yetu kwa muda wa siku 7.
Kama hakuna atakayejitokeza,tutafunga ndoa mpenzi.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…