Nipokeeni ndugu zangu, tabu za dunia zimenizidi

nendiwekilasa

Member
Nov 14, 2012
10
0
Jamani kwa heshima na taadhima naomba mnipokee ndugu yenu, ninahisi kwa kuja hapa nitatua mizigo niliyonayo, naomba mnipokee kwanza, ili nikishakaribishwa ndani niweze kutoa yale yanayonisibu ili mnisaidie ushauri
 
Katavi

Platinum Member
Aug 31, 2009
41,149
2,000
Jamani kwa heshima na taadhima naomba mnipokee ndugu yenu, ninahisi kwa kuja hapa nitatua mizigo niliyonayo, naomba mnipokee kwanza, ili nikishakaribishwa ndani niweze kutoa yale yanayonisibu ili mnisaidie ushauri
Karibu sana jamvini mkuu. Anza kwa kupitia MMU.
 
Top Bottom