Mmeshaanza kauzibe madomo zege nyie!!! vidume wa ukweli hawazibiwi mnajisumbua tu !! wataingia tu ivoivo mazima mazima, hata kma wakikuta kuna midevu wanarudisha majeshi faster!!..shida iko wapi?
kwani nyie waomabaji gani mnaogopa kupotea!.......na kuanza moja???...nyie ndo mnaliaga nyie! na kujiua...kidume halisis ni Lazima upoteze sana na upate mauzoefu ya kila aina sasa bila hii kidume kitapataje uzoefu??