Nipo vyombooooo

Nipo vyombooooo

Wakuu heshima kwenu.
Baada ya kuumizwa kimapenzi na kuzingatia ushauri wenu nimepata ahueni kubwa sana.
Baada ya hayo yote nimechukulia Poa na nakula vyombo.Usiulize ni vyombo gani?
Mungu awabariki.
Katiba mpya inahitàjika lasivyo utaumizwa sana
 
Mwanaume unajiita tamuuu? Lazma uumizwe aisee.
Hongera kwa kupata suluhisho la. Matatizo yako. Kamata health insurance manake soon afya itakupa majibu yako kwenye figo, ini na magoti/joints
Dada usihofu, natumia majimaji sn.Sio ngumu I know.Halafu sio kihivyooooo
 
Back
Top Bottom