Nini tofauti Kati ya blog na website.
Blog ni website lakini website sio blog!
Blog kazi yake kubwa ni kubeba nakala mbalimbali, Habari mbalimbali, kuhifadhi habari ndio lengo la blog kuanzishwa kwake.
Blog faida
Ni bure unaweza ifungua hapa blogger.com
Haihitaji utaalamu kuunda.
Unaweza endeshwa na mtu mmoja.
Website
Kila kitu kimojakimoja kinalipiwa,kwasababu hapa unamiliki jina lako mfano patiee.com na sio patiee.blogspot.com
Website ina uwezo wa kuhifadhi data nyiiingi zaidi/pasipo kikomo ingali blog haiwezi.
Website unaweza kuibadili utakavyo,iwe forum,online store,lms nk ingali blog haiwezi
Kwanini blog haiwezi? Kwasababu ni free na kama ni free ni limited, limited kwenye nini?
Bandwidth limited
No SSL (security) na mambo mengine mengi
Sent from my Infinix HOT 4 Lite using Tapatalk