Nipo uliza maswali kuhusu website nitakujibu 100%

Web ya constructions,learning management systems, real state nk ni 450,000/= maelewano yapo ukija kwangu

Sent from my Infinix HOT 4 Lite using Tapatalk
Mi wasi wasi wangu utaiba wazo langu mimi na kulifanyia kazi utapiga hela ndeeeeeefu utaniacha mi nashangaa pembeni
 
Mi wasi wasi wangu utaiba wazo langu mimi na kulifanyia kazi utapiga hela ndeeeeeefu utaniacha mi nashangaa pembeni
Mimi huku online nimeshafanyia mawazo yooote ya pesa ndefu ikiwa ni classified, online store nk sijui ni wazo gani hilo unatishia nalo

Sent from my Infinix HOT 4 Lite using Tapatalk
 
Hosting, domain, extension, adsense ni nini?
Hosting ni mfano wa flash ambapo data zote huhifadhiwa kwenye computer mfano picha,audio nk

Domain ni jina la website mfano facebook.com nk

Extension ni kikoa .com,.net.ke,.tz nk

AdSense ni matangazo ya Google ambayo hucheza kwenye websites mbalimbali

Sent from my Infinix HOT 4 Lite using Tapatalk
 
Watu wengi hawajui kusolve baadhi ya matatizo baada ya kuunda website.

Pili: Watu hawajui ni nani atakayewafanyia kazi nzuri ya website.

Sasa katika Uzi huu nitajibu maswali yote na changamoto mbalimbali kwa wamiliki/waundaji/wanaohitaji website.

Niandikie sasa. Kwa msaada zaidi piga 0753093869.

View attachment 1349146

Sent from my Infinix HOT 4 Lite using Tapatalk
Tupe Somo kuinstall ssl certificates kwenye IIS na nginx na xampp
 
Watu wengi hawajui kusolve baadhi ya matatizo baada ya kuunda website.

Pili: Watu hawajui ni nani atakayewafanyia kazi nzuri ya website.

Sasa katika Uzi huu nitajibu maswali yote na changamoto mbalimbali kwa wamiliki/waundaji/wanaohitaji website.

Niandikie sasa. Kwa msaada zaidi piga 0753093869.

View attachment 1349146

Sent from my Infinix HOT 4 Lite using Tapatalk
Je inawezekana kupata free domain

Sent using Jamii Forums mobile app
 
what is the another name of file?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa ulimwengu huu wa social networks, Instagram account, fb acc, Twitter acc, jf acc a.t.c huko kote mimi kama mfanyabiashara bidhaa zangu natangaza na nawasaliana na wateja wangu hebu nishawishi kwa nini niwe na website? Itaongeza nini kwenye biashara yangu?

Ukweli ni kwamba hiyo mitandao ni Bure lakini kila kukicha wanaweka sheria kali na itafikia mahali itabidi ulipie Tangazo lako kwa lazima.... Sasa miliki website yako,ni kama kuwa na duka lako watu wanakuja dukani kwako moja kwa moja,hata masoko wakifunga wewe unaendelea kuuza dukani kwako..

Miliki website yako itangaze fb,insta ikue na kukua, Kumbuka inakua chini yako,unaongeza revenue, baadae unatangaza biashara za watu wengine na wanakulipa kwenye website yako

Sent from my Infinix HOT 4 Lite using Tapatalk
 
NAWEZAJE KUUPLOAD WEBSITE ILIYOPO IN FORM OF ZIPFILE

Inatokana unatumia server ya aina gani,muhimu lazima ujue root folder ya tovuti yako Kama unatumia web server yenye ftp tu, ingia kupitia ftp angalia folder inayoitwa public_html upload zip hapo kisha unzip kwenye hiyo folder au unaweza ku-upload kwenye folder nyingine ila kwenye ku-unzip target folder iwe hiyo public_html
Kama ni cpanel, ingia nenda kwenye file manager ,angalia folder ya public_html kama maelezo ya juu yanavyoelekeza

Kama ni Linux hakikisha ume-imeistall php,MySQl(au database nyingine) na Apache (LAMP stacks)kwenye ukimaliza installation huwa unapata info ukitembelea hizo utaangalia folder ambayo default Apache page itatoka ndio uta-unzip hapo
Kama ni windows server install WAMP kisha fuata process Kama hapo kwenye linux
 
Back
Top Bottom