Darasa la Hosting and Themes pamoja na huduma zake

Psiteshio72

JF-Expert Member
Nov 13, 2016
634
440
Hosting (kwa kiswahili) ni mfano wa flash! Kwenye mtandao ni sehemu ya ambayo data zako zote huhifadhiwa,kama images,videos, files nk.

Ni kama flash yako inavyohifadhi vitu ,na flash huwa na ukubwa (space) wa kuweka vitu kwa kiasi flani mfano 8GB,16GB, 32GB nk.

Ukihost website utapewa (space) i.e 1GB,2GB,10GB ambayo itakusaidia wewe kuwa na data nyingi kwenye mtandao wako. i.e blog,forum,website etc

Sasa kwa hapa Tanzania watu wengi wana blog lakini hawana hosting kwasababu ya Gharama kubwa na kupewa space ndogo.

Suluhisho lipo: Sasa hutaweza kupata hosting ambayo ni unlimited space (hamna ukomo) kwa website yako,blog nk. Kwa bei cheeeee, rudia tena bei chee.

Themes
Ni muonekano wa nje wa website (appearance) kama ukiingia JamiiForums, Millard Ayo, Facebook, Instagram utaona hazifanani kwa muonekano.

Sasa unaweza kugundua website/blog/forum ina muonekano mbayaaaaaa kwasababu hujanunua theme nzuri/hujapata wataalamu.

Sasa ukitaka exactly design like JamiiForums, Millard Ayo, Muungwana blog, Eposite, Tuzungumze Forums, Twitter nk ni lazima ulipe kiasi kikubwa cha pesa to buy these themes.

But today I will teach how to customize your website professionally, and it's easy just drug& drops.

No skills, knowledge or code required! As I said earlier it's just drug and drop.

Huduma za hosting & themes nazitoa kwa bei chee, kuja DM nikuonyeshe kazi zaidi ya 100 nilizofanya au piga 0753093869.

Sasa unaweza uliza maswali hapa chini kuhusu (website/blog/forums) kama hosting nk nami nitajibu kwa haraka na bure.

Asante watu wote kwa kusoma ujumbe huu.
 
Kuna themes mbalimbali na inategemea website yako inahusiana na nini! Labda bookings, hotel, news, forum, school management, hospitals, ecommerce website like Jumia, Amazon, Alibaba nk.

Aina yoyote unayoihitaji utaipata, sasa niuilize unataka website ya aina gani?

Pia kuna plugins, plugin add some functionality in your website.

Niandikie hapa
 
Zilizo nzuri nyingi ni za kulipia ambazo wengi wetu hatupendi
Bure aghali !
Plugin ni nini ?
Hizo plugin za kulipia ni zipi na wewe unarecommend ipi kati ya hizo ?
Nina wazo wa kuwa na website ya kuhost video kama vile youtube gharama zake zikoje kwenye kudesign na kuihost ?
Nalog off
 
Karibu sana,plugin it add functionality in the website kama Ukitaka watu wauze vitu kwa website yako kuna plugin ya kuwezesha hiyo kazi.

Pili hiyo ni tube means design and functionality it will be the same as YouTube Tubemate ,vidimate etc

Sasa gharama zake ni unipigie simu tu hapa 0753093869
 
Hosting (kwa kiswahili) ni mfano wa flash! Kwenye mtandao ni sehemu ya ambayo data zako zote huhifadhiwa,kama images,videos, files nk.

Ni kama flash yako inavyohifadhi vitu ,na flash huwa na ukubwa (space) wa kuweka vitu kwa kiasi flani mfano 8GB,16GB, 32GB nk.

Ukihost website utapewa (space) i.e 1GB,2GB,10GB ambayo itakusaidia wewe kuwa na data nyingi kwenye mtandao wako. i.e blog,forum,website etc

Sasa kwa hapa Tanzania watu wengi wana blog lakini hawana hosting kwasababu ya Gharama kubwa na kupewa space ndogo.

Suluhisho lipo: Sasa hutaweza kupata hosting ambayo ni unlimited space (hamna ukomo) kwa website yako,blog nk. Kwa bei cheeeee, rudia tena bei chee.

Themes
Ni muonekano wa nje wa website (appearance) kama ukiingia JamiiForums, Millard Ayo, Facebook, Instagram utaona hazifanani kwa muonekano.

Sasa unaweza kugundua website/blog/forum ina muonekano mbayaaaaaa kwasababu hujanunua theme nzuri/hujapata wataalamu.

Sasa ukitaka exactly design like JamiiForums, Millard Ayo, Muungwana blog, Eposite, Tuzungumze Forums, Twitter nk ni lazima ulipe kiasi kikubwa cha pesa to buy these themes.

But today I will teach how to customize your website professionally, and it's easy just drug& drops.

No skills, knowledge or code required! As I said earlier it's just drug and drop.

Huduma za hosting & themes nazitoa kwa bei chee, kuja DM nikuonyeshe kazi zaidi ya 100 nilizofanya au piga 0753093869.

Sasa unaweza uliza maswali hapa chini kuhusu (website/blog/forums) kama hosting nk nami nitajibu kwa haraka na bure.

Asante watu wote kwa kusoma ujumbe huu.
Blogu ni nini?

Blogu ni aina ya tovuti ambayo makala zake hupangwa katika mpangilio unaoanza na makala mpya juu ya ukurasa mkuu (home page) na makala za zamani zikielekea chini.

Tofauti kati ya blogu na tovuti za aina nyingine mfano tovuti ya gazeti la mwananchi (tovuti tuli “static”) au jamii forum (tovuti jukwaa “forum”)

Ni hizi zifuatazo.

Maudhui ya blogu (makala, picha, video n.k.)hupangwa kwa kuanza na maudhui mapya yakiwa juu ya ukurasa mkuu halafu maudhui ya zamani yakielekea chini.

Maudhui ya blogu huongezwa mara kwa mara Wanaotembelea blogu wanaweza kuacha maoni yao kuhusu maudhui au blogu kwa ujumla.

Zipo tofauti nyingine lakini hizi zilizo ainishwa hapo juu kwa pamoja ndiyo zina tofautisha blogu na tovuti nyingine.

Kwa nini watu wanaanzisha blogu?

Watu huanzisha blogu kwa sababu mbali mbali ila kuna sababu ambazo husukuma watu wengi kuanzisha blogu zao binafsi.

Kufundisha;

Watu wengi wenye utaalamu au ujuzi na jambo fulani huanzisha blogu kwa ajili ya kufundisha. Mfano mtu anayefanya kazi kwenye duka la kuuzia simu anaweza kuanzisha blogu ya kusaidia watu kutambu simu feki au simu zitakazo kidhi mahitaji au utunzaji bora wa simu yako n.k.

Kusaidia;

Kuna watu wanaoanzisha blogu kwa ajili ya kusaidia watu. Mfano daktari anaweza kuanzisha blogu ya kusaidia watu na matatizo yao ya kiafya.

Kipato;

Pia wapo watu ambao huanzisha blogu kama njia ya kujipatia kipato. Hapa kuna kuwa na tofauti kati ya blogu moja na nyingine, wapo wanaouza bidhaa kupitia blogu zao, wapo wanaouza ujuzi wao n.k

Na wale wanaounda Blog kwa Sababu Ya Kuweka Matangazo Ya Adsense Ambayo hulipa Zaidi Duaniani kote

Faida za kuwa na blogu.

Faida za kuwa na blogu ni nyingi kwa wale ambao wana tafuta njia mbadala ya kufikisha ujembe wao kwa haraka, urahisi na unafuu. Baadhi ya faidi kubwa za kuwa na blogu ni;

Blogu ni rahisi kuanzisha na kusimamia;

Kuanzisha blogu ni rahisi sana na inachukua chini ya dakika 5 kuanzisha blogu yako bila gharama yeyote zaidi ya kuwa na mtandao.( MB)

Vile vile kuendesha na kusimamia blogu yako ni rahisi kwani unaweza kuweka makala zako mtandaoni kwa kutumia simu, barua pepe n.k.

Ni rafiki wa search engine;

Zaidi ya nusu ya watu wote wanaotumia mtandao duniani hutumia search engines kutafuta makala mtandaoni. Ukiweza kutumia blogu yako vizuri unaweza kufaidika na utitiri wa watu wanaotumia search engines.

Blogu tofauti na tovuti zingine inauwezo mkubwa wa kufaidika na search engine ambayo itakuletea wageni wengi ukiitumia vizuri.

Blogu huvuta wageni wengi;

Uwezo mkubwa wa kutumia search engines, uhamasishaji wa ushiriki kwa kutoa maoni unasaidia blogu kuvutia watu wengi kuliko tovuti nyingine.

Ukiweza kuweka makala zenye mvuto, zenye kuhabarisha, kuelimisha, kuburudisha n.k. hutakosa wageni kwenye Blogu yako mfano Blogu ya Millard Ayo ni maarufu kwa Sababu ya Maudhui yake

Blogu itakupatia kipato;

Ukiweza kuwa na maudhui yenye mzuto ukatumia search engine vizuri utapata wageni wengi kwenye blogu yako.

Ukiwa na watu wengi wanaotembelea blogu yako, watu, makampuni nakadhalika watataka kuwafikia wageni wanaotembelea blogu yako. Njia ya kuwafikia ni matangazo ambayo itabidi wakulipe hivyo kukuingia kipato.

Blogu inaweza kukupatia ajira;

Kwa wale ambao hawana ajira na wanaujuzi fulani au wamesomea kitu Fulani, blogu inaweza kuwa njia ya kukupatia ajira.
Mfano umesomea ubunifu wa majengo na huna ajira unaweza kuanzisha blogu ambayo inatoa ushauri kuhusu namna bora ya ujenzi bure.

Na kama maudhui ya blogu yako yatasaidia watu kujenga nyumba bora, kuokoa fedha n.k. (i) Utapata watu wengi watakaotembelea blogu yako kwa ajili ya kupata ushauri (makampuni ya bidhaa za ujenzi yatataka kufikia wageni wa blogu yako kupitia matangazo). (ii) Ushauri wako unakuwa ni sehemu ya C.V. yako hivyo kuongeza uwezekano wa kupata ajira.

Sehemu ya kuanzia

Kabla hujaanzisha blogu yako hakikisha unajibu maswali matatu muhimu,

(1) Je unaielewa vizuri mada utakayozungumzia kwenye blogu yako? e.g. Soka, siasa, mitindo n.k. (2) Unaipenda mada ya blogu yako kiasi cha kuweza kuifanya bila malipo? (3) Je
 
Kuna themes mbalimbali na inategemea website yako inahusiana na nini! Labda bookings, hotel, news, forum, school management, hospitals, ecommerce website like Jumia, Amazon, Alibaba nk.

Aina yoyote unayoihitaji utaipata, sasa niuilize unataka website ya aina gani?

Pia kuna plugins, plugin add some functionality in your website.

Niandikie hapa
Nikiwa na bila blog hosting naweza kupata malipo kwenye blog yangu
 
apo js libraries tumetumia jquery na polyfill
misc webpack
framework bootsratp
Hii tovuti umeiunda mwenyewe from scratch kabisa?

Kuna tovuti kama hii na logo kama hii unayotumia kwenye store yako inaitwa jiji.ng(link hii https://jiji.ng/).
ipo tangu 2014(wanaijeria) hata techcrunch ya marekani walitoaga taarifa ya jiji.ng kutengeneza kiasi cha $21 million kwa classifies ads.

labda kama hii yenu ni sehemu ya hii kampuni ya jiji.

1581523134118.png

hii tovuti sioni tofauti na hii chini ya wanaijeria.
1581523254217.png

tukiachana na hayo hivi kutumia bootstrap sio kulemelaza akili pamoja na kuachana na javascript kisha kukimbilia jquery
 
View attachment 1355502
hii tovuti sioni tofauti na hii chini ya wanaijeria.
View attachment 1355507

tukiachana na hayo hivi kutumia bootstrap sio kulemelaza akili pamoja na kuachana na javascript kisha kukimbilia jquery
Walitoa dili kwenye upwork tukapiga iyo not alone
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom