Wakuu nataka kuvuka mataa ya ubungo sasa ni saa mbili inatimia hatusogei. nimelala nimeamka wap!!
Hivi mbele kunanini hivi jamani
Aha!
gazeti la UHURU!
Nashukuru nimevuka sasa.
zima gari kuwa mvumilivu utulie kimya mpaka yesu atakapokuja ama amlete lowassawakuu nataka kuvuka mataa ya ubungo sasa ni saa mbili inatimia hatusogei. Nimelala nimeamka wap!!
Hivi mbele kunanini hivi jamani
Wakuu nataka kuvuka mataa ya ubungo sasa ni saa mbili inatimia hatusogei. nimelala nimeamka wap!!
Hivi mbele kunanini hivi jamani