Nipo tayari kwa mapambano

Naomba uweke kumbukumbu sawa. el siyo waziri mkuu msfaafu bali ni WAZIRI MKUU ALIYEJIUZULU KWA SHINIKIZO ZA BUNGE LILILOMTUHUMU KUKIUKA MAADILI YA UONGOZI KATIKA SAKATA LA MKATABA WA KIFISADI WA RICHMOND.
Ndugu zangu watanzania wapenda maendeleo ya nchi yetu.
Nawaombeni tuweke kando tofauti zetu za vyama nk na tuungane kwa pamoja na Mhe Waziri Mkuu Mstaafu ndugu Edward lowassa kupambana dhidi ya Umaskini,ujinga,maradhi na hasa ufisadi.
Tukiungana kwa dhati tutafanikiwa.
Niko pamoja nawe kwenye mapambano haya
Hii si vita yake peke yake ila ni ya kila mzalendo alipendae taifa hili.
OTIS
 
Mweshimiwa nakushauri uachane tu huko kwani ubinafsi ulio nao hautakuacha ufanye unayosema kumbuka kwamba wakati ukiwa Waziri haukuwa na muda wa kutoa michango ya Harambee kama ilivyo sasa.Alafu naomba nikukumbushe wewe kama kiongozi Umipitisha maji hapa Ngaramtoni kwenda Monduli laki hujatuwekea hata tawi moja wakati unajua kwqamba Ngaramtoni kuna tatizo la maji.Je utakapo kuwa Raisi si uataihamisha hata bahari iende Mondulu?
 
HARUFU ya Epa ,richmonduliiiiii,tangold,Meremeta ,kagoda, = ufisadi
nazihisi hapa
 
Kasema yupo tayari kwa mapambano
Kwanini tusimuamini?
OTIS

mapambano gani anayosema?huyu amekuwa serikalini tangu miaka ya sabini, kafanya nini? utajiri wake umeibuka ghafla kwa speed ya ajabu alipoingia wizara ya ardhi, kajimilikisha maeneo kibao masaki, mbezi , kajenga majengo mengi kwa fehdha za kifasadi na baadhi ya majengo hayo yanatumika ka ofisi za mabalozi mjini humu! huyu jambazi na ipo siku tutamkamata, i swear to God, kila kitu kina mwisho wake!
 
Kasema yupo tayari kwa mapambano
Kwanini tusimuamini?
OTIS

mapambano gani anayosema?huyu amekuwa serikalini tangu miaka ya sabini, kafanya nini? utajiri wake umeibuka ghafla kwa speed ya ajabu alipoingia wizara ya ardhi, kajimilikisha maeneo kibao masaki, mbezi , kajenga majengo mengi kwa fehdha za kifasadi na baadhi ya majengo hayo yanatumika ka ofisi za mabalozi mjini humu! huyu jambazi na ipo siku tutamkamata, i swear to God, kila kitu kina mwisho wake!
 
kwa kila ombi litakalofuata sote tuitukie AMEEEN!
1. walaaniwe wote waliokataliwa na baba wa taifa kuongoza nchi hii ...sema AMEN!
2. walaaniwe wote walioshiriki kumuua baba wa taifa hili ...AMEN!
3. walaaniwe maswahiba wawili wanaoiyumbisha nchi ...AMEN!
4. walaaniwe walioshiriki wizi wa EPA!...AMEN!
5. Walaaniwe walioanzisha KAGODA...Amen!
6.walaaniwe walioleta Richmond kifisadi...AMEN!
7. walaaniwe ambao wamesababisha nchi kuwa gizani...AMEN!
8. Alaaniwe mtu mwenye kichwa chenye nywele nyeupe (white crested maasai) ambaye ananunua makanisa ili yamuunge mkono katika ufisadi wake...AMEN!
9. Alaaniwe kwa kutamani kutuuza watanzania wote ili yeye azidi kuwa bilionea...AMEN!
10. WAlaaniwe woote ambao wako chini ya uongozi wa Andy chande hivyo kuikabidhi nchi kwa freemasons...AMEN!
11. walaaniwe Illuminati wote...AMEN!
12. walaaniwe wezi wa rada...AMEN!
13. walaaniwe wezi wa kura...AMEN!
LAANA HIZI ZITAAMBATANA KIZAZI CHA TATU HADI CHA NNE CHA WALE WANAOMCHUKIA MUNGU NA KUWATENDA VIBAYA WATANZANIA. DAMU YA WATANZANIA ITAKUWA JUU YENU NA WATOTO WENU.

Hii sala inatisha? Lakini ya kweli
 
Back
Top Bottom