Nipo tayari kwa mapambano

Nipo tayari kwa mapambano

Nchi hii ina kazi kweli kweli! Jinsi gani mtu akae chini na kufikiria kumsafisha EL! Nadhani kuna haja ya watanzania kufanyiwa uchunguzi mkubwa wa akili
 
Ndugu zangu watanzania wapenda maendeleo ya nchi yetu.
Nawaombeni tuweke kando tofauti zetu za vyama nk na tuungane kwa pamoja na Mhe Waziri Mkuu Mstaafu ndugu Edward lowassa kupambana dhidi ya Umaskini,ujinga,maradhi na hasa ufisadi.
Tukiungana kwa dhati tutafanikiwa.
Niko pamoja nawe kwenye mapambano haya
Hii si vita yake peke yake ila ni ya kila mzalendo alipendae taifa hili.
OTIS

Nani kakwambia LOWASSA alistaafu? Jamaa yako alishinikizwa na bunge "kujihuzulu" hakuwahi kustaafu kabisa! Kamata mwizi meeeeen.
 
Mmmmh! Kuna ki2 Wamasai wanakiita MBAIGISO. Mh huyo ni MBAIGISO
:A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1:
 
Mapambano gani? Kwanza huyu jamaa ilitakiwa angekuwa gerezani anatumikia kifungo kama tungekuwa na serikali makini inayojali masilahi ya nchi.
 
ndg wa tz kabla hatajanunu hizi siasa rahisi za otis na mzee wake EL tujiulize huyu anaewatetea vijana leo amehudumu serikalin na ndn ya chama chenye dola nafasi nyeti kwa zaidi ya miaka 15 ametafanyia nini?mpaka leo tuamini kuwa anataka kuwaletea vijana ahueni ya ajira?NACHO KIONA HAPA NI EL AMESHATAMBUA NGUVU WALIYONAYO VIJANA KWENYE KUHAMUA NANI AWE RAIS AJAE HVYO ANAOMBA HURUMA YAO PERIOD.
 
Hivi Lowasa ndo yule aliye fukuzwa uwaziri?
 
You can't be serious!! Huyu ndiye aliyetufikisha watanzania kwenye umaskini huu! RICHMOND ilikuwa inachota million 152 kwa siku! tukimpa Urais si ndo atatuuza kabisa na kuwa watumwa!!!!
Labda katajirika kiasi ya kwamba hatahitaji kutuibia tena!
 
Nimerudi wapendwa katika kujenga taifa
Narudia kusema hakuna awezae pambana na ufisadi zaidi ya lowassa
Tuungane nae ndugu zangu
vinginevyo ufisadi utazidi daima
OTIS
 
kwa kila ombi litakalofuata sote tuitukie AMEEEN!
1. walaaniwe wote waliokataliwa na baba wa taifa kuongoza nchi hii ...sema AMEN!
2. walaaniwe wote walioshiriki kumuua baba wa taifa hili ...AMEN!
3. walaaniwe maswahiba wawili wanaoiyumbisha nchi ...AMEN!
4. walaaniwe walioshiriki wizi wa EPA!...AMEN!
5. Walaaniwe walioanzisha KAGODA...Amen!
6.walaaniwe walioleta Richmond kifisadi...AMEN!
7. walaaniwe ambao wamesababisha nchi kuwa gizani...AMEN!
8. Alaaniwe mtu mwenye kichwa chenye nywele nyeupe (white crested maasai) ambaye ananunua makanisa ili yamuunge mkono katika ufisadi wake...AMEN!
9. Alaaniwe kwa kutamani kutuuza watanzania wote ili yeye azidi kuwa bilionea...AMEN!
10. WAlaaniwe woote ambao wako chini ya uongozi wa Andy chande hivyo kuikabidhi nchi kwa freemasons...AMEN!
11. walaaniwe Illuminati wote...AMEN!
12. walaaniwe wezi wa rada...AMEN!
13. walaaniwe wezi wa kura...AMEN!
LAANA HIZI ZITAAMBATANA KIZAZI CHA TATU HADI CHA NNE CHA WALE WANAOMCHUKIA MUNGU NA KUWATENDA VIBAYA WATANZANIA. DAMU YA WATANZANIA ITAKUWA JUU YENU NA WATOTO WENU.
 
Ametubu lini dhambi ya ufisadi!bado wa shetani huyu ni mjaja tu hana jipya labda umeme wa dharura
 
Kuwa makini mafisadi yanatesa mpaka mama zako na ndugu zako kila siku nchi nzima,kama mgawo wa fedha za mafisadi umekufikia basi hebu jaribu kuwa na huruma kwa watanzania wenzako!
 
Ndugu zangu watanzania wapenda maendeleo ya nchi yetu.
Nawaombeni tuweke kando tofauti zetu za vyama nk na tuungane kwa pamoja na Mhe Waziri Mkuu Mstaafu ndugu Edward lowassa kupambana dhidi ya Umaskini,ujinga,maradhi na hasa ufisadi.
Tukiungana kwa dhati tutafanikiwa.
Niko pamoja nawe kwenye mapambano haya
Hii si vita yake peke yake ila ni ya kila mzalendo alipendae taifa hili.
OTIS

Hizo njaa zako zitakuumiza,.... Ili CCM na mafisadi waeleweke na waTZ ni lazima aje Malaika kuwapigia debe
 
Ndugu zangu watanzania wapenda maendeleo ya nchi yetu.
Nawaombeni tuweke kando tofauti zetu za vyama nk na tuungane kwa pamoja na Mhe Waziri Mkuu Mstaafu ndugu Edward lowassa kupambana dhidi ya Umaskini,ujinga,maradhi na hasa ufisadi.
Tukiungana kwa dhati tutafanikiwa.
Niko pamoja nawe kwenye mapambano haya
Hii si vita yake peke yake ila ni ya kila mzalendo alipendae taifa hili.
OTIS

Akitubu na kurudisha angalau fedha alizokomba za Richmond pengine anaweza kusamehewa na wananchi na baadae kumfikiria kumuajili pale magogoni bila hivyo hii ccm mafia itammaliza kabla ya siku zake!!!!
 
Lowassa mpiga ufisadi namba moja.
Sasa kaungana na Sita,mwakyembe na Sendeka
Mafisadi roho juu
OTIS
 
ONLY THE ILLUMINATI SUCCEED.! ILLUMINATI=FREEMASONS..,Jamani mzee wa watu alishasema enough is enough naona mshaanza kumuhusisha na mambo ya kipuuzi eti Illuminati wakati yy ni mtu wa mungu

Hawa ccm walivyokuwavilaza hawana hata habari kuwa kuna wagombea wao waliowapendekeza kama watano hivi ni FREEMASONS!! Hii wala sio tetesi ni fact.Wanaiuza nchi bila kujua kwa njaa yao.
 
Hawa ccm walivyokuwavilaza hawana hata habari kuwa kuna wagombea wao waliowapendekeza kama watano hivi ni FREEMASONS!! Hii wala sio tetesi ni fact.Wanaiuza nchi bila kujua kwa njaa yao.

Mtume alisema anamuonea huruma sana mtu aongozae watu wasio na elimu
OTIS
 
mwambie huyo aliyekutuma kwamba JF wengi niwasom hivyo hawadanganyki hata kwa noti zake za laana,rais anajulikana kilichobaki anasubiri muda ufke aingie ikulu
 
Ndugu zangu watanzania wapenda maendeleo ya nchi yetu.
Nawaombeni tuweke kando tofauti zetu za vyama nk na tuungane kwa pamoja na Mhe Waziri Mkuu Mstaafu ndugu Edward lowassa kupambana dhidi ya Umaskini,ujinga,maradhi na hasa ufisadi.
Tukiungana kwa dhati tutafanikiwa.
Niko pamoja nawe kwenye mapambano haya
Hii si vita yake peke yake ila ni ya kila mzalendo alipendae taifa hili.
OTIS

hadithi za mfalme juha.
 
Back
Top Bottom