Nipo serious

Haya endelea kusubiri hapa hapa hicho kiapo...
Andika hivi mimi ku sijawahi kulalana wala kumtamani mwanamke ovyo nawala sijamkiss wala kumuhug nakama na danganya jogoo langu lisisimame kamwe.
Ukiandika hivyo utakuwa umeapa
 
Mheshimiwa machinoo mambo jamani
Naunga mkono hoja..teh
tapatalk_1559984302809.jpeg
 
Andika hivi mimi ku sijawahi kulalana wala kumtamani mwanamke ovyo nawala sijamkiss wala kumuhug nakama na danganya jogoo langu lisisimame kamwe.
Mimi cjawahi kulala Wala kumtamani ovyo wanawake, sijakiss Wala kuhug na Kama na Dan ganya jogoo lisisimame kamwe
 
Wadau kama wewe ni mwanaume hujawahi kumla mdada i mean kama wewe ni virgin comment here natafuta mwanaume ambaye jawahi kufanya tendo la ndoa hajawahi hata kukiss a lady ambaye hajawahi hata kuhug sister zake yeye husubiria the right time comment here.
Umemaliza mitihani salama.

Anza kujiandaa na sup kwenye September conference.
 
Nyie kila kukicha nataka mwenye bikra sijui nini blah blah sasa mimi nataka mwanaume bikra kam nyie ambaye hata hajamkiss mdada licha amle.
wewe usijilinganishe na bina damu yeyote humu sio kwa sababu mtu kasema anapenda au anataka chai na wewe ufanye kisa eti mbona nyie mnafanya hivi na vile........ be your own
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom