Nipo njiapanda

mh! nahisi uzee unanisumbua. Acha niende jukwaa la ujasiriamali. Jamani!!
 
kaka oa yule uliemkusudia acha kumharibu na kumhadaa dada wa watu bana unatia hasira kweli wewe

Dada mapenzi hayana logic, ni hisia zenye nguvu sana ukipenda vilivyo! Kuzidhibiti ni maumivu. Tena nikiona hiyo avatar yako inafanya nimmiss zaidi!!!
 
Tumia mbinu ulizotumia kumpata mara ya kwanza.

Lakini mkuu siumesema unatarajia kuoa mwakan,sasa huyo mwarabu wa nini tena??
 
we jinga kweli kama hataki unafikiri sisi tutafanyaje unataka tukubembelezee ?

Anataka tukamsaidie kulia wakat kipindi anakula vitamu hakutushirikisha
 
kaka oa yule uliemkusudia acha kumharibu na kumhadaa dada wa watu bana unatia hasira kweli wewe
D
Dada yangu mapenzi hayana logic,ni hisia zenye nguvu sana, kuzidhibiti ni maumivu! Tena nikiona hiyo avatar yako, ninammiss na kuumia zaidi!!!!
 
Tumia mbinu ulizotumia kumpata mara ya kwanza.

Lakini mkuu siumesema unatarajia kuoa mwakan,sasa huyo mwarabu wa nini tena??

Si unajua ujana kaka......?! Mara ya kwanza alijileta mwenyewe kwa kiasi kikubwa ndo maana kazi ikawa rahisi!
 
Ila mkuu si umesema una mtu wako? Ni bora uachane nae ili uwe na muda mwingi zaidi na huyo mtu wako utazidi kujiongezea point kwa huyo mtu wako ambaye uko committed kwake. goodluck
 
Na hapo una mchumba unataka umuoe mwakani??.. Shame on you
 
Ila mkuu si umesema una mtu wako? Ni bora uachane nae ili uwe na muda mwingi zaidi na huyo mtu wako utazidi kujiongezea point kwa huyo mtu wako ambaye uko committed kwake. goodluck

Asante kwa ushauri mzuri lakini ni vigumu sana kwangu kuutekeleza!
 
Dada mapenzi hayana logic, ni hisia zenye nguvu sana ukipenda vilivyo! Kuzidhibiti ni maumivu. Tena nikiona hiyo avatar yako inafanya nimmiss zaidi!!!

acha zako wewe una mchumba tayar why unaruka ruka mara huku mara kule kuruka ruka achia popcorn
 
Wewe na Mwarabu wako ni watoto kiumri au kibusara ! Kama sivyo basi umeanza mapenzi uzeeni ! Subiri madhara yake
 
Watu kama wewe ndio mnaofanya wanaume wote tuonekane matapeli wa mapenzi.acha tamaa za kipumbavu,tulia na mmoja umpendae.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…