Nipo njiapanda

Mmmh najuta muda nliopoteza kutype hapa

Mi nacheka peke yangu hapa!!! Yaan najicheka nimehadaika...duuu! KWELI DUNIA HADAA...ULIMWENGU SHUJAA....nani aaminiwe cku hizi??? me au ke???
 
You just can't accept the fact that I might not be a lier after all.

may be yes..may be no..may be your lies appear clearer than reality,perhaps by strengthening them with a little mix of truth in with them..
 
Mkuu moyo nao unasema???

Mkuu kilaza....umewaza kuniuliza swali, ili ujumbe ulonao kichwani mwako unifikishie mm, ni lazma iwe ni kwa njia ya mdomo, ishara au vidole(kalamu au typing).Moyo ndo huridhia ujumbe uliomo kichwani utolewe nje ya mwili kwa njia hizo nilizokutajia hapo juu. Mkuu kilaza, cdhani kama uko serious kwa hili swali. Kama uko serious anzisha uzi mpya....nitakuja huko.
 
Kwa hivo moyo husema...nawe wasema na moyo wako.
 

Mapenzi mama si unajua tena mapenzi upofu...
 
Anatafuta mtu wa kwenda kumlelea mtoto wake. Kwa kuwa wewe ulishazaa na ukatekelezwa anaimani utakuwa na moyo wa kutulia na kulea watoto wote wake na wako.
 
Khantwe ushauri uliompa mleta mada ni wa busara mno, akiufuata hawezi kujikwaa tena mkuu wangu.
 
Last edited by a moderator:
:llama:mkimbie huyo baba mtoto kama ukoma na huyo mwingine ana jeraha la kutendwa anatafuta pa kuponea tu tulia usikurupuke
 
Usisubir miujiza ndugu hakuna miujiza duniani ni Mungu pekee anayeweza fanya miujiza na sio huyo baba mtoto wako....
Na akirudi ujue anakuja kuchukua mtoto na sio kukufuata wewe kama miujiza yako inavyodai.....

Tulia kwanza lea mwanao ndugu yangu huyo anayesema anakupenda sasa hivi muweke kando bana sio lazima muwe wapenzi yeye anataka kuja kukuletea mwanae ulee kama huna habar ndio tambua kwanzia sasa..... Tulia na mwanao lea usilete habar za eti mtoto bado mdogo kwaio unataka u- do nae ilhali unanyonyesha???? Usiniangushe rafiki fanya hivi unless unambie kuna kitu unachokitaka kwa huyo kaka mbali na mapenzi.........

Kwani mwanao wa kike wa kiume tuunge undugu kabisa
 

Eeeeewaaaaa umenena vyema ndugu sema sasa huyu rafiki anaonekana tayar kashazama mapenzin sasa sijui kama ataenda sanjali na ushauri mzuri alopewa au ataupiga teke
 

mkuu hapa nimetoka kapa siunajua sisi wenye akili za shake well before use tunamatatizo sana embu anzisha uzi unaohusu jinsi moyo unavyosema labda nitakuelewa
 
kuwa makini tunaweza kuwa tuna dili na mtu mzima sana..
Date of Birth:September 12, 1970 (44)

Hahaaaaaa Tyta huwa nakwambia mimi napenda sana kazi yako daaaa mkuu unaufamu mzuri wa records daaaa jii ni shida
 
Last edited by a moderator:
mkuu hapa nimetoka kapa siunajua sisi wenye akili za shake well before use tunamatatizo sana embu anzisha uzi unaohusu jinsi moyo unavyosema labda nitakuelewa

Mkuu,wakat mwingne unanichekesha mpaka nafurah, yaan unakuwa kam ni mshirika wangu kikazi na makazi!!! Ila siyo neno...hata huu urafiki wa kugongana kimawazo ndani jf ni urafki mtamu zaidi. NITAFUNGU UZI, "MOYO WANGU USEMAVYO"
 

hivi kufunga ndoa ni nini hasa?
mwanaume kukamilisha taratibu za mahali au mpaka mambo ya kanisani na ukumbini?

kama ni hayo ya kanisani na ukumbini utamkosesha mume mwenzio.
vijana siku hizi hatuoi sababu ya gharama za harusi.
harusi siku hizi imegeuka sehemu ya kutiana umaskini na kutajirisha wengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…