Nipo njia panda nionyesheni njia

Nipo njia panda nionyesheni njia

Nyie vijana wa siku hizi mafedhuri sana, unamchezea chezea mtoto wa watu halafu yakikukuta makuu unaanza kuweweseka.
Mi nshawahi kumnasa vibao chalii mmoja alimtia mimba mdogo wangu baadae wakaenda kujificha huko msoma. Nilimfuatilia mpaka walipo hasira zikanipanda na ukiangalia nilijinyima kumsomesha mdogo wangu mpaka hapo alipofikia halafu kinyang'au kinaloweka kikojoleo tuu bila kufuata utaratibu.
Mnakera sana.

Lakin mkuu ndio tiar huyo kijana ashakua ndugu yako
 
Back
Top Bottom