walai nakataa mi nishashiba michembe yangu konga liko juu anakuja dem kunirembulia kifala nimuache???Natokea mkoani mkuu mimi sio wa Dar.
Hapa naona wengi mnanikejeli badala ya kutoa ushauri wa maana. Kiufupi hebu wewe jiweke kwenye nafasi yangu kisha mfikirie msela atajisikiaje akijua? Je mtaendelea kuwa masela?
Au jiweke kwenye nafasi ya msela, ujue kuwa rafiki yako wa karibu kabisa anatafuna yule mpenzi wako wa zamani tena anaemjua kuwa alikuwa shemeji yake.
Pimeni huo mzani ubalance mnishauri wakuu.
Ii comment daahWalishaachana toka mkiwa chuo na alikuwa demu wa mchizi wako sio mchumba, hapo ulipo una magundi kitambo hujaosha rungu bibie kajileta mixer ulimbo upo.. nafikiri hauhitaji ushauri bali kofi la uso uamke
Kwani wanawake hawana macho!?Alikukonyeza? Mwanamke anakonyezaga?
Wavulana wa Dar mnashida sana, maana huu ni upuuzi kama upuuzi mwingine tu...[emoji55] [emoji55] [emoji55]
Hahahaha....mkuu umeua. Sasa hilo kofi si unaweza ukaleta madhara?Walishaachana toka mkiwa chuo na alikuwa demu wa mchizi wako sio mchumba, hapo ulipo una magundi kitambo hujaosha rungu bibie kajileta mixer ulimbo upo.. nafikiri hauhitaji ushauri bali kofi la uso uamke
Sijawahi kumtafuna mkuu zaidi ya ukaribu wetu uliotokana na urafiki wangu na jamaa yake huyo enzi hizo. Kiasi ilikuwa kuna mda nakaa nae alone tunapiga story tu kawaida hata kama jamaa hayupoKubali kataa huyo dem wa mchizi ulishamtafuna kipindi mkiwa chuo.