Nipo Mwanza kwa siku ya leo wakuu , campany yenu ni muhimu sna

Nyaman , km vyote vimekosekana bas mchizi mmoja ni pm tupite kwenye machombo ku test ubora
 
Nenda kirumba kama unashida na mwanamke
Nenda villa kamata swala mmoja tandika pale mtaroni tembea, Kinga muhimu hao unataka kuwaalika Ni mufilisi Kuna midude inakunywa wine chupa, Mara whisky bili laki bado kula alafu nipo bread Ni upuuzi kuwekeza Bora ku hit n' run
 
Back
Top Bottom