Nipo Mombo Navunja Mbavu Za Mbuzi Za Kuchoma Na Discover Langu Nililolifungia Tangu 2015.

Jf Ni Sehemu Ya Burudani Na Elimu Lakini Humu Jf Kuna Mijitu Ina Kiwango Kingi Cha Adrenaline Ktk Figo Zao Inapondaponda Tu Imejawa Na Msongo Kazi Karaha Tu Haijui Hata Kufurahi Yaone Kumbuka Jf Ni Ya Wote Si Yako Peke Yako



hahahahahahahhahahahhahaahahahhhahaahhaha CCM IMETUFIKISHA HAPA KAAUKIJUA MXIEW
 
Wadau Nipo Mombo Hapa Navunja Mbavu Za Kuchoma Discover Langu Linaoshwa Mavi Ya Ndege Yani Raha Tu Sijasimamishwa Hata Na Wauza Machungwa Wala Yange Yange Nasepa Hedaru Kwa Rafiki Yangu Karibuni
Usisahau kutuletea handas la Hedaru liko poa sana sio chungu km handas la same huko,ila angalia hpo mombo unaweza kula mbavu za mbwa usipokua makini...
 
[HASHTAG]#joverest[/HASHTAG] Just Kupata Mawazo Tofauti Tofauti Tu Ndo Mana Tunaipenda Jf Au Unataka Tusi Log In Jf Kupata Maarifa?
 
Mwanangu ifurahie pesa kabla hujaipangia matumiz,wa2 tulisoma kwa shda mpaka tumekuwa madingi dhiki haziish tu...yafurahie maisha kama umeyafumania,Ila umenikumbusha ile bar ya Liverpool na ile conner Kali ya Mombo kwenye daraja kama unatokea K'njaro baada ya kuivuka hyo conner ndy unaingia hapo wanapochoma nyama

Jamaa yangu kuna watu wanahela lakini wanaishi kama waganga wa kienyeji vile, sasa maaana ya kuwa na hela sijui ni ipi sasa..
 
Jf Ni Sehemu Ya Burudani Na Elimu Lakini Humu Jf Kuna Mijitu Ina Kiwango Kingi Cha Adrenaline Ktk Figo Zao Inapondaponda Tu Imejawa Na Msongo Kazi Karaha Tu Haijui Hata Kufurahi Yaone Kumbuka Jf Ni Ya Wote Si Yako Peke Yako
Kula raha mkuu Discovery muungurumo wake ni raha tu,gari ya kiume hiyo, kula bata nasema tena kula bataaa
 
Back
Top Bottom