Nipo matatani

Nipo matatani

Ha?? sasa ukae peke yako umekuwa jini??
Nadhani hujanielewa. Lakini pia nikwambie inatakiwa ujue ukishaoa huwezi ukasema utakuwa peke yako kwa sababu tayari mke utakuwa naye na siku sinavyozidi kuenda lazima familia itaongezeka.
 
Ndo shida ya kuwa mtu mzima afu bado unaishi maisha ya kunyapia nyapia leo kwa kaka, kesho kwa shemeji.....
 
Habari wana jamvi;Nipo matembez kwa kaka angu ambae kashaoa na apa nyumban yupo shem na mdogo wake wa kike sasa mdog wake ananitaka kimapenz na mda mwingi anapend kukaa mimi napata wakati mgumu sana naombeni ushauri wenu jinsi gani ntavunja haya mahusiano
Ukirudi shule tatizo hilo litaisha
 
Kwahyo kwako haturuhusiw kuja?
Daah! Wiki moja au mbili za kubadilisha upepo sawa unaruhusiwa ila sio kuja kukaa tu huku hata siku ya kuondoka haijulikani.

Mana mwisho wake ndio huo watu kuanza kutamaniana.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Nadhani hujanielewa. Lakini pia nikwambie inatakiwa ujue ukishaoa huwezi ukasema utakuwa peke yako kwa sababu tayari mke utakuwa naye na siku sinavyozidi kuenda lazima familia itaongezeka.
Na mdogo wako akija hutaweza kumfukuza kirahisi... itakubidi ujue namna ya kukaa nao tu!
 
Hmmmm! 🙂🙂 TGIS...unaogopa kutamaniana!?

Daah! Wiki moja au mbili za kubadilisha upepo sawa unaruhusiwa ila sio kuja kukaa tu huku hata siku ya kuondoka haijulikani.

Mana mwisho wake ndio huo watu kuanza kutamaniana.
 
Back
Top Bottom