Nipo matatani

Nipo matatani

Eti ananitak,,,alafu anataka kuvunja mahusiano,duuh hatari hii,,, ila nahisi likizo inaelkea kuisha so asiwaze sana avumilie ila asirudi tena kwa kaka mpk shemeji mdgo akiondoka……!!!
Ndo maana nimemuuliza hayo maswali wala hakuweza kujibu...

Likizo nafikiri yaisha kesho...
 
Mletee ubishi wa kikorea kaskazini tu.lazima atasalenda na kusepa mwenyewe tu.
 
Utavunjaje mahusiano ambayo hayajaanza?
Kama hutaki si umkazie sura tu...
 
Daaah hii dunia inaviumbe wa ajabu sana

Unaomba ushauri kwani ujui nn cha kufanya apo

Embu acha undezi bhana nyie ndo mnadhalilisha wanaume wote
 
Ooooh. Kumbe shule zinafunguliwa jumatatu..!!!!!! Mkuu jikaze tu. Ila kuwa bze na tution
 
Back
Top Bottom