brokeni
JF-Expert Member
- Jul 23, 2014
- 412
- 279
Habari wana jamvi;Nipo matembez kwa kaka angu ambae kashaoa na apa nyumban yupo shem na mdogo wake wa kike sasa mdog wake ananitaka kimapenz na mda mwingi anapend kukaa mimi napata wakati mgumu sana naombeni ushauri wenu jinsi gani ntavunja haya mahusiano