Mmh haya! Tukuiteje sasa mtoto au mwanaume?unatakiwatakiwa tu,unachekacheka tu!au hujui umekuja kufanya nini hapo ulipo.Ananitaka kimapenz me sipo tayari
Aisee... We mzuurii... KhaaahMsimamo kwanza..
Kama haupo tayari tatizo ni nini dogo? Unashindwa kumuambia kuwa sipo tayari kufanya hivyo? Au una muogopa?Ananitaka kimapenz me sipo tayari
Habari wana jamvi;Nipo matembez kwa kaka angu ambae kashaoa na apa nyumban yupo shem na mdogo wake wa kike sasa mdog wake ananitaka kimapenz na mda mwingi anapend kukaa mimi napata wakati mgumu sana naombeni ushauri wenu jinsi gani ntavunja haya mahusiano
Embu andika vizuri, Taratibu za uandishi huzijui au??Habari wana jamvi;Nipo matembez kwa kaka angu ambae kashaoa na apa nyumban yupo shem na mdogo wake wa kike sasa mdog wake ananitaka kimapenz na mda mwingi anapend kukaa mimi napata wakati mgumu sana naombeni ushauri wenu jinsi gani ntavunja haya mahusiano
Ha?? sasa ukae peke yako umekuwa jini??Ndio mana nachukiaga tabia ya watu kurundikana kwenye nyumba bila sababu za msingi huu ndio unakuwaga mwisho wake.
Habari wana jamvi;Nipo matembez kwa kaka angu ambae kashaoa na apa nyumban yupo shem na mdogo wake wa kike sasa mdog wake ananitaka kimapenz na mda mwingi anapend kukaa mimi napata wakati mgumu sana naombeni ushauri wenu jinsi gani ntavunja haya mahusiano
Hebu mlete huyo binti nimseme aache hizo tabia kijana.Ananitaka kimapenz me sipo tayari