katoto kazuri
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 6,126
- 5,761
NO LOVE IN DIS WORLD LOVE YOUR SELF AND LOVE YOU ARE PARENTS INLY THEM HAVE TRUE LOVE.Habarini Za wakati Huu Mabibi na Mabwana.
Takribani miezi mitatu sasa nimekuwa na mahusiano na binti flani, nimekuwa nje ya mahusiano kwa muda wa miaka minne, wakati huo nikiwa najiweka sawa kwenye mambo mengine. Hivyo nilibahatika Kumpata Binti miezi mitatu iliyopita na mahusiano yetu kiujumla yalionesha Upendo uliopo si kwangu na hata na kwake pia.
Takribani mwezi Umepita kuna Tabia ilitokea kwa huyu Binti ndani ya muda wa Siku Kama tatu nilikuwa natimiza majukumu yangu katika mahusiano kama kumjulia khali Asubuhi na pia kumtakia Usiku Mwema na kujua ni Siku yake imeishaje lakini ndani ya siku kama tatu niliyatimiza haya ila hakunijibu Simu zangu. Siku Ya nne nilimpigia simu nikaongea nae akadai kwamba alikua anaumwa, nikamweleza angenipa taarifa ila kutokujibu wala Kupokea simu zangu si jambo jema. Tuliongea hayo yakaisha.
Tatizo lingine limejitokeza leo ni Takribani siku ya nne Nimejaribu kumpigia simu hapokei, namtumia sms anazipata lakini hajibu na whatsap pia namtumia na anazisoma na anaweka mpaka sTatus ila hanijibu.
Hivyo nilikua naomba Ushauri, nichukue hatua gani katika hili Suala.
Lpve ipo sema anayekupenda kweli.. yawezekana humpendi!!NO LOVE IN DIS WORLD LOVE YOUR SELF AND LOVE YOU ARE PARENTS INLY THEM HAVE TRUE LOVE.
SHOWER THEM WITH GOOD THINGS,MONEY,TAKE THEM DIFFERENT PLACES BUT GIRLS MARRIES THEM AS COMPANION BT LOVE NOPE UKIPENDWA PENDA UKIZIRIWA KUWA BUSY UKIFURAHIWA FURAHI THAT'S IT.
Convo be like..Hii ni kweli unamuuluzia hali yake utadhani mgonjwa kalazwa mwaisela
Unachosema ni kweli jamaa itakuwa anatabirika sana yani katengeneza hiyo pattern 😂😂😂Wanawake hawapendi watu soft and weak.
Mwenzako keshazoea anatongozwa leo kesho katinduliwa mpaka anashindwa kuamka wewe unakazana na umeamkaje, umelalaje, umeamkaje, umelalaje, umeamkaje, umelalaje.
Kama unataka mapenzi ya aina hiyo tongoza watoto wa form one.
Note: Ikimbie zinaa.
100% correct!!!Ukiona hivo jua mahusiano yake mengine yanafanya vizuri.
Halafu hakupendi, kuchat na mtu usiyempenda haina raha kabisa, ni kero na ni usumbufu.
Hivyo nilikua naomba Ushauri, nichukue hatua gani katika hili Suala.
Hapana mkuu PSYCHOLOGICALLY/ emotionally wanafanana sana...!!Mabinti wa kibongo iz very different na mabinti wa kiarabu, wazungu n.k ..
Minne tena , kwako mkuu!!Ujumbe niloukuta whatsap leo ndo huo Wakuu,Bado sijamjibu ingekua Vyema ningepata Ushauri pia kuhusiana na jumbe zake hiziView attachment 1840542
Next time ukitakata kuwa na serious relationship acha hizi tabia za wavulana mkuu,nikaanza kumtumia txt nyingi inaonesha anazipokea lkn hazijibu,
Kwa hiariHayo mahusiano ya kujuliana hali kila siku ni boring na hayakuwa deep..
Kipindi chote ulichokuwa naye.. umeshindwa kumchota kihisia umfanye ajiconnet na wewe emotionally akupende na kukuheshimu.
Kama kweli unampenda .. kata mawasiliano sasa..
kutunza heshima yako (kuendelea kumcontact mtu aliye kimya ni sawa na kujipendekeza - kujishushia heshima).
achana naye ! Hadi atakapo kutafuta yeye mwenyewe. (Chance ni ndogo)
Kwa ufupi akiona simu zako anaona kero, na ukituma sms ni usumbufu pia tena kama nyinyi madogo wa siku hzi mnavyopenda ku double text!!!!
Focus kwenye vitu vya msingi , malengo na ndoto zako... jitengenezee mazingira ya kujithamini wewe kwanza!!!
Miaka minne bila patner kwa hiari au ulikuwa huna, ndio umembahatisha huyu anayekuzinguwa???
Move on ...to the next one!
Kweli Nouma sikujibiwa siku tatu yanConvo be like..
Mocker: Mambo
Pisi : p
Mocker: unaendeleaje na hali?
Pisi: vzr
Mocker: Mambo mengine vipi lakini?
Pisi: xafi
Mocker😱k nimekumixx
Pisi: mmmh!
Mocker: mbn unaguna? 13:10
Pisi:
Mocker: mbona kimya? 13:25
Pisi:
Mocker: hello 13:50
Pisi:
Mocker: mambo baby? 15:30
Pisi:
Mocker: umeshindaje ? 17:04
Pisi:
Atarudi endapo tu jamaa ataamua kukaa kimya na kujiheshimu (kupunguza kiujpendekeza) kwa huyo du,Kaona hamna jinsi ya kukutoka ila akupige fix tu! Ila mwisho atakuja kurudi huyo demu amini kwamba. Yakimshinda huko alikoenda atarudi mbio kwa kujifanya kafikiria kaona muendelee tu kama hatarudi untafute unipe mrejesho!
Hapo ujue hakuna mtu umeachwa kimasihara,mtumie kama elfu 50000 hivi labda atasema sikua na vocha na ataanza kujibu kama sms kumi then kimya tenaConvo be like..
Mocker: Mambo
Pisi : p
Mocker: unaendeleaje na hali?
Pisi: vzr
Mocker: Mambo mengine vipi lakini?
Pisi: xafi
Mocker😱k nimekumixx
Pisi: mmmh!
Mocker: mbn unaguna? 13:10
Pisi:
Mocker: mbona kimya? 13:25
Pisi:
Mocker: hello 13:50
Pisi:
Mocker: mambo baby? 15:30
Pisi:
Mocker: umeshindaje ? 17:04
Pisi:
Dawa yao ndio hio hio unamuweka kwenye “Disposable bay” akijileta unagonga af mikausho mikali! Tena unamuita geto kibabe sana maana atakuja kwa kujipendekeza kupitia backdoor huku kainamisha uso chini kwa aibu we unamvuta unaitwanga mbususu kisha unafanya kama unajikuna hivi😂! Unampumzikia tu no love...Sasa hapo ushauri wa kitu gani tena?
Hapo kuna jamaa anamtanulia kila siku na wewe anaona aibu kukuchana ukweli. Cha msingi umwahi kumchana yeye kuwa from now onwards hataona sms yako wala calls zako. Then hata atume sms ya matusi au dharau usiisome ifute na usiijibu.
Siku wakigombana na huyo Mpemba atakukumbuka.
Hapo akija mgonge kisha mwache.
Kudadeki, dawa ya moto si maji bali moto.
Mimi mademu wapumbavu nimewaumiza sana
Dawa yao ndio hio hio unamuweka kwenye “Disposable bay” akijileta unagonga af mikausho mikali! Tena unamuita geto kibabe sana maana atakuja kwa kujipendekeza kupitia backdoor huku kainamisha uso chini kwa aibu we unamvuta unaitwanga mbususu kisha unafanya kama unajikuna hivi😂! Unampumzikia tu no love...