milionea wa kesho
JF-Expert Member
- Dec 28, 2015
- 328
- 631
Mpe namba yangu mwambie Zero kasema mtafuteNipo kwenye daladala nimekaa siti moja na demu mmoja mkali ananunikia vizuri. toto jeupe lina chura mkubwa. sasa wakati anakuja kukaa top aliyovaa ilipanda juu kidogo nikaona shanga kiunoni za gold. Anatumia Iphone x. bado sijamwongelesha jamani sijui nianzie wapi. Hili suala la kuanzisha conversation naona bado gumu kwangu.
uzi tayari
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanasemaga madem wakali sana wengi wao majini,endelea kuchunguza miguuni kama hakuna kwato.
Mbinguni hakuna bia.
Ahahahaaaa acha uoga mkuu,we chunguza tu.
Duuh muanze tu kama mm apa uyu jamaa kanizugia na mpira ananiambia naashabikia timu gan mwishon akaomba no anitumie matokeo
Mpe namba yangu mwambie Zero kasema mtafute
Cc Zero IQ
Kwa hiyo na wewe umeridhika kulipiwa nauli humu utoto mwingi sanaupdate:
kanilipia nauli ingawa hatujaongeleshana. kondakta alihisi tupo pamoja akamdai nauli ya watu wawili
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimemwambia me na mpira vitu viwili tofauti akaishiwa poziUmempa ???
Duuh muanze tu kama mm apa uyu jamaa kanizugia na mpira ananiambia naashabikia timu gan mwishon akaomba no anitumie matokeo