miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,802
- 49,109
Hapo sasa, mchagga na mhaya wote tunaijua hela, give me 10% so that I can be encouraged to bring as Many customer as I can
mtani mkumbushe na kula vizuriAnza kunywa viroba kumi kwa siku ili ujijengee self confidence..na ukakamavu......
if i give u much money that means utaridhika na kuzembea kazi naanza na 5% alafu the more customer the much money
I got u chagga girl, u charge them $100, I charge them $150...$50 is mine+5% of 100=$55. Still haya is breve than chagga!
Habari zenu wadau.natumai hamjambo.
Hivi ni kwanini inatokea unajikuta mtu uko against your mind,unapingana na akili yako kivitendo,labda una mpango kwamba once ukipata nafasi umu aproach msichana fulani halafu inakutoka kabisa.
Msichana labda ushampa swaggz kwamba una shida nae,halafu anakuja kukuona huna mpango nae tena,hata nisipokuwa care vya kutosha najikuta hata girlfriend nilienae nampuuza,ni ubize wangu au? naombeni msaada najua nipo na great thinkers.
i will be stupid aiseeee .. i use my energy , and then u make more than me no way out
Then we've to get married so that all these money we make goes to our home!???
that is good idea
Kweli mtani inabidi apate japo maandazi mawili na chai kabla hajajidunga viroba........mtani mkumbushe na kula vizuri
Kweli mtani inabidi apate japo maandazi mawili na chai kabla hajajidunga viroba........
Kwa neema atapona tu.......asante tusije pata tanzia
Una umri gani?
mtani mkumbushe na kula vizuri
hapo umenena mkuu miss chagga.... jamaa aache kujishtukia mara kwa mara.kwa sababu HUJIAMINI KWA KILE UNACHOKIFANYA..... unanegative thought kwa kila unalofikiri unahitaji ... kama ni mahusiano unahisi nitaachwa au malaya... jambo amabalo si jema na halina mashiko... kujiamini ni fimbo ya kupiga kila kitu duniani...
Viroba kwangu are prohibited jaman wakuu.
Kwa neema atapona tu.......
Jini mahaba huyo anakusumbua!
ni kwa wanawake tu? au na kwenye pesa? kwamba yani mtu umemkopesha afu roho inakataa kumdai.....!!!
ni kwa wanawake tu? au na kwenye pesa? kwamba yani mtu umemkopesha afu roho inakataa kumdai.....!!!