Waziir Hamad
Senior Member
- Jan 19, 2015
- 102
- 25
ni kwa wanawake tu? au na kwenye pesa? kwamba yani mtu umemkopesha afu roho inakataa kumdai.....!!!
naomba anikopeshe
kwa sababu HUJIAMINI KWA KILE UNACHOKIFANYA..... unanegative thought kwa kila unalofikiri unahitaji ... kama ni mahusiano unahisi nitaachwa au malaya... jambo amabalo si jema na halina mashiko... kujiamini ni fimbo ya kupiga kila kitu duniani...
hahahhahah..... umeona eeh!! ngoja anijibu kwanza ili nijue namkopa sh ngap..
Kuna watu mna vipaji vya kutoa elimu ya psychology, tumieni mpige hela mjini hapa!
Sawa miss chagga usisahau 10% yangu:beer:
mwanzoni nitakupa 5% ila the more the customer the more commission so usijali