Nipo katika mahusiano na mama mtoto wake naye kadata.

sio umalaya mzee ishu ni mazingira ambayo huyu mtoto ananitengenezea
Upo na mama yake inatosha. Kumbuka K siyo chakula utasema usipokula utakufa. Huyo mama mlindie heshima yake na useme NO kwa binti yake. Hizo za kumuwaza huyo binti ni tamaa za ngono na ukishamtafuna utamuacha.
Jifunze kuacha historia nzuri kwenye mahusiano. Hata mkikutana sehemu mtaweza kuongea
 
Kazi ya jembe ni kulima,wapitie wote tu kama wamejilengesha
 
Wakuu habari wakati mwingine mambo yanaweza kutokea mpaka usipate jibu. Ni kwamba nipo katika mahusiano na single mother na ana mtoto mkubwa wa kike miaka 18+ na mtoto anajua mahusiano yetu.

Japo mahusiano yetu ni ya siri sana na huyu mama ndiye aliyemwambia mwanaye japo nikimuuliza mama kama kuna mtu amemwambia kuhusu mahusiano yetu anakataa kabisa.Cha kushangaza huyu mtoto ameanza kunitumia sms na kuniambia ananipenda na kweli nimejiridhisha kwani nilimtega tukutane sehemu ili nione kama atakuja

Na kweli alikuja ila hatukufanya chochte kile.Huyu binti sikuwahi kumfikiria hata siku moja ila toka aanze kuniambia haya maswala kwa sasa hivi ameteka sana akili yangu na namuwaza sana japo najaribu kujizuia sana

Kwani nahisi kuwa inaweza kumletea matatizo kama radhi kwakwe.
Ushauri wenu wadau katika hili kumbukeni sisi wanaume hiki kichwa cha chini kikianza kufyata inafyatuka kweli kweli.
Bwana mdogo mbaya zaidi utakuta bado huyo mama mtu ndiye anakutunza maana kwa hiyo akili sidhani kama una uwezo wa kuishi kama mme.
 
mi ninakula mtu na mama yake....miguno yaoinafanana kweli kweli wakati wa kugegedana
 
Wakuu habari wakati mwingine mambo yanaweza kutokea mpaka usipate jibu. Ni kwamba nipo katika mahusiano na single mother na ana mtoto mkubwa wa kike miaka 18+ na mtoto anajua mahusiano yetu.

Japo mahusiano yetu ni ya siri sana na huyu mama ndiye aliyemwambia mwanaye japo nikimuuliza mama kama kuna mtu amemwambia kuhusu mahusiano yetu anakataa kabisa.Cha kushangaza huyu mtoto ameanza kunitumia sms na kuniambia ananipenda na kweli nimejiridhisha kwani nilimtega tukutane sehemu ili nione kama atakuja

Na kweli alikuja ila hatukufanya chochte kile.Huyu binti sikuwahi kumfikiria hata siku moja ila toka aanze kuniambia haya maswala kwa sasa hivi ameteka sana akili yangu na namuwaza sana japo najaribu kujizuia sana

Kwani nahisi kuwa inaweza kumletea matatizo kama radhi kwakwe.
Ushauri wenu wadau katika hili kumbukeni sisi wanaume hiki kichwa cha chini kikianza kufyata inafyatuka kweli kweli.
wewe ni mvulana ungekuwa mwanaume hili sio la kuuliza huyo binti ni binti yako maadamu umeishaufunua utupu wa mama yake. Hebu kuwa na nidhamu maishani mkemee sana huyo binti akuheshimu kama baba yake wa kambo.
 
Ikiwa ilani ya chama tawala inamruhusu tenda itakiwavyo....
 
Back
Top Bottom