Rijali jandoni
JF-Expert Member
- Apr 5, 2018
- 2,174
- 2,265
mama katuma kachero over!
Imeandikwa katika vitabu vuitakatifu "usimtafune mama na mwanae, ni laana". Mtafune mmoja wao tu basi.Wakuu habari wakati mwingine mambo yanaweza kutokea mpaka usipate jibu. Ni kwamba nipo katika mahusiano na single mother na ana mtoto mkubwa wa kike miaka 18+ na mtoto anajua mahusiano yetu japo mahusiano yetu ni ya siri sana na huyu mama ndiye aliyemwambia mwanaye japo nikimuuliza mama kama kuna mtu amemwambia kuhusu mahusiano yetu anakataa kabisa.
Cha kushangaza huyu mtoto ameanza kunitumia sms na kuniambia ananipenda na kweli nimejiridhisha kwani nilimtega tukutane sehemu ili nione kama atakuja na kweli alikuja ila hatukufanya chochte kile.
Huyu binti sikuwahi kumfikiria hata siku moja ila toka aanze kuniambia haya maswala kwa sasa hivi ameteka sana akili yangu na namuwaza sana japo najaribu kujizuia sana
Kwani nahisi kuwa inaweza kumletea matatizo kama radhi kwakwe.
Ushauri wenu wadau katika hili kumbukeni sisi wanaume hiki kichwa cha chini kikianza kufyata inafyatuka kweli kweli.
..You should be ashamed of yourself for the mere thought of crossing that line.
Ndo umalaya wenyewe huoo...!! Hayo mazingira usingeona kama ni fursa laiti ungekuwa mstaarabu.. Ila umalaya ukizidi aisee hata mambo ya kawaida utaona ni fursa.sio umalaya mzee ishu ni mazingira ambayo huyu mtoto ananitengenezea
Duh Mkuu unataka kuniambia inawezeka a hao watu walipata hayo mabalaa kutokana na laana ya kutafuna mama na mtoto?Nakumbuka miaka 15 ilypita nilkutana na school mate wangu mmoja hv mazngra ya kazn kwake nlpta hapo kufanya kibarua kama cha wik moja hv,nikiwa hapo walikuja wadada wawil hv warembo kwel , baaadae walipotoka akaniambia wajua wale ni ndugu na wako watatu, wote pamoja na Mama yao mzazi nmepga, nlpomulza kwa nn wafanya hvyo na wakjua itakuwaje jbu alnijbu nahis wanajua kisha akasema kwa masitikito sana "shida hizi dah nahis wanataka pesa tu" alkuwa na kpato kizur sana enzi zile, Rafiki yangu hakudumu Mungu alimwita mbele ya haki kwa ajali mbaya sana, yupo mwngne pia alnipa kisa cha kumla mke wa mtu na wifi yake , badae nlkuja sikia 2015 anatumikia kifungo cha miaka isyopungua 15
Kfupi nmejfunza tu mikosi na mabalaa mengine watu huyatafuta wenyewe,
Yawekezana kabsa ndugu huwa kufanya vtu vya kuumiza wengne hasa vya dizaini hyo huleta mikosi na mtu akinung'unika kwa uovu huo mbele za Mungu ni vigumu kuwa na heri hapa duniani, mifano ipi mingi hyo miwili inatosha, 😀😀Duh Mkuu unataka kuniambia inawezeka a hao watu walipata hayo mabalaa kutokana na laana ya kutafuna mama na mtoto?
Maendeleo hayana chamakwani ilani ya ccm inasemaje?
That ain't love.ok bro i have understood but remember us men in love we are too weak.
Hapa tutamsingizia tu shetani bure.
poa mkuuinawezekana mzee ngoja tuone.