Nipo katika kipindi kigumu, naomba msaada

Nipo katika kipindi kigumu, naomba msaada

Me nashauri tukuite Ngoswe.....maana umesahau kilichokupeleka ukaenda kufuga cha ziada....we kweli mshamba......
 
Me nashauri tukuite Ngoswe.....maana umesahau kilichokupeleka ukaenda kufuga cha ziada....we kweli mshamba......
Hapana lakini hata wanajeshi wakienda vitani wakikuta dhahabu wanachukua,huyu manzi alijilengesha mi ningefanyaje?
 
Rudi nyumbani kwenu ukaendelee kula ugali wabure wa baba,

Siku akili yako ikikomaa ndio utafute kazi,hata jinsi ulivyoiandika hii thread tu unaonekana bado una akili za kitoto sana,kumbuka ukubwa hupimwa kwa busara na sio umri.
 
Sasa ulpoanzisha mahusiano nae ulitegemea nn?? umkaze kisha umuache yan umharbu tu umuache? kama ni hvyo basi mambo kuharibiana....
Hakuna kitu kibaya kama kwenda ugenini ukakurupuka kuanzisha mahusiano kabla ya kutathimin maisha yako.

Mama akienda kusema ujue unapata sifa ya uharibifu na uhuni.

Muombe radhi endelea na mwanae kula mzigo si ulitaka kula mzigo weye??
 
Mkuu nishauri namna ya kusolve hili tatizo sio kurudi nyumbani
 
Sasa ulpoanzisha mahusiano nae ulitegemea nn?? umkaze kisha umuache yan umharbu tu umuache? kama ni hvyo basi mambo kuharibiana....
Hakuna kitu kibaya kama kwenda ugenini ukakurupuka kuanzisha mahusiano kabla ya kutathimin maisha yako.

Mama akienda kusema ujue unapata sifa ya uharibifu na uhuni.

Muombe radhi endelea na mwanae kula mzigo si ulitaka kula mzigo weye??
Ni kweli,najuta kwa niliyoyafanya kwa huyu binti alafu aliwahi kuniambia ana mimba yangu
 
Mapema sana lakini sijampenda kabisa huyu demu.kwa hyo swala la Posa ni ngumu
 
Habari za Asubuhi Ndugu na jamaa zangu wa jf.Matumaini yangu wote Ni wazima wa afya,poleni na ugumu wa maisha Katika kipindi kigumu cha JPM.Lakini kwa upande wangu naiona Tanzania mpya inakuja.

Tuache hayo nije kwenye dhumuni la andiko hili........
Ilikuwa ni mwaka 2014 nilipoanza kazi Katika mkoa Fulani hapa Tanzania.Nilifurahi Mara baada ya kusikia nimepata kazi na kushukuru sana kwani nimetoka katika mikono ya wazazi.Age yangu ni miaka 27 kwa sasa.

Mara baada ya kuripoti katika kituo cha kazi na kupangiwa majukumu yangu,nashukuru karibu na eneo la kazi kulikuwa na kota/nyumba za wafanya kazi kwa hiyo kidume nikapatiwa apartment yangu.Ikumbukwe nimetoka dar es salaam hivyo full swagger yaani katupia mapamba ya kinyamwezi. Basi mademu wakawa wanashoboka kinoma ,mimi sikulemba niliwagonga vizuri sana.

Kuna mama ni mfanyakazi mwenzangu ambaye tunaishi jirani kusema kweli nilimuheshimu sana kama mama yangu mzazi. Huyu mama alikuwa anapenda sana niwe naenda nyumbani kwake kupiga story,Kumbe alikuwa na mtoto wake ambaye alikuwa anasoma kidato cha 6 Arusha.Kuna wakati alipolejea nyumbani kipindi cha likizo basi akaanzisha mazoea na mimi. Bila kuchelewa nikatia vocals mtoto akaelewa nikawa nakula mzigo kama kawaida yangu.

Mi nilikuwa nazuga tu kwake kumbe mtoto alikolea kwa penzi la mnyamwezi,usiku alikuwa anatoroka anakuja geto napiga mzigo kama kawa.Nilidumu nae karibu miezi 6 hivi nikaanza kumtema/kumuacha taratibu bila mwenyewe kujuwa.Alipogundua akawa anatukana kila siku akifika home kwangu.Kumbe mama ake alikuwa anajuwa kila kitu kuhusu mahusiano yetu,akaanza kupeleka habari hizi kwa mwajiri/mkurugenzi wetu kazini. Sasa ameahidi atanifanyia kila hila hadi nifukuzwe kazi.
Mimi sipo tayari kukosa kazi wanandugu naomba msaada wenu nifanyeje ili nifanye kazi yangu kwa amani, naomba mnisamehe kwa maelezo marefu....
Muoe binti
 
Hata mnaotiririka kutoa ushauri, mbona hakututaarifu wakati anaanza kutupia vocal zake anazotueleza hapa?
 
Sana sana kukusaidia
1.omba uhamisho
2.kama kuhama ngumu omba suluhu kwa mama
3.ama oa huyo mtoto ake
 
Kula mama, kula mtoto, kula mkurugenzi kila anaejileta kula.... Utatetea kazi yako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom