Nipo hapa naburidika na Air Pambamoto

Nipo hapa naburidika na Air Pambamoto

Nafikiri hata mimi sio mdau manake lugha uliyotumia nimetoka kappa, najiuliza hiyo air pambamoto ni muziki au kitu gani. Kama ni clabu au .....basi mimi nilipataga FFFFFFFFFFFF ya makitu hayo, ngoja niondoke tu.
 
Air pambamoto gani? Ile ile Ochestra Vijana Jazz, Saga Rhumba, Bara mpaka pwani tuliyoizoea au hizi zinazopiga copy?
 
Back
Top Bottom