Nipo hapa naburidika na Air Pambamoto

Nipo hapa naburidika na Air Pambamoto

Dah, jamaa wameimba wimbo Tanzania yetu ndiyo nchi ya amani utadhani wa kwao!

Dah kuna wadada wana mafigures kama b52, ni raha tupu.
 
ndo kinanani hawa?? Nisameheni na ushamba wangu
 
Nimeshindwa kuielewa mada nafikiri hainihusu . Napita
 
Watu sijui wamelewa, naona wanaanza kukumbatiana bila mpango. Kuna wadada projections backwards, dah! Najiuliza ndio walivyoumbwa au wameweka nn!
 
Nani kamwaga pombe yangu....nauliza

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Watu sijui wamelewa, naona wanaanza kukumbatiana bila mpango. Kuna wadada projections backwards, dah! Najiuliza ndio walivyoumbwa au wameweka nn!
Heaven on Earth anapambio huko Nyuma?


Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Watu sijui wamelewa, naona wanaanza kukumbatiana bila mpango. Kuna wadada projections backwards, dah! Najiuliza ndio walivyoumbwa au wameweka nn!
hao watakuwa wahaya....mana wamejaza sana utadhani wamejiumba....
 
Back
Top Bottom