Nipo hapa monterey, califonia members

Nipo hapa monterey, califonia members

Nipo hapa San Martin Airport najiandaa kuondoka na dk 10 tu!
 
Nipo hapa Boston karibu na uwanja wa basketball aliyepo karibu na uwanja wa basket.
 
Nipo white house hapa namalizana na Obama kuhusu mahari ya binti yake Malia....nikitoka hapa nitakutafuta mkuu
 
Nipo Miami bar napate supu maeneo ya Samora hapa Iringa aliye karibu tafadhari tuonane...
 
Hahahahaaa leo haya nipo Los Angeles. CA Long beach hapa .......
 
Nipo kimboka hapa buguruni napata supu ya kichwa cha ng'ombe alie jirani anitafute!
 
wiki ijayo ntatua JFK Airport hapo na baada ya wiki nitakuja Boston natumai nitakukuta, kama wwe ni me au ke???
 
naitwa mamba, nipo mtoni...

oohh sorry sikumalizia nipo mtoni mtongani...
 
Uko pekeyako huko majuu.
Tuliobaki wote Tunajilia Matembele yetu huku kwa Bi. Mkola.
 
Back
Top Bottom