🤣🤣Nakunywa gahwa mixer na tangawizi najaribu kusogea uelekeo Ubungo...Leo mtaniona BBC au AL Jazeera...nimevaa kijikoti kimeandikwa PRESS
Mm zamani nilijua missionary ni mambo ya kanisa, kumbe ni kuna maana nyingine 🔥Zamani tulikua tunajua BBC ni chombo Cha habari,kumbe Kuna maana nyingine!
Umevaa kijambakoti? Misogee kwa Gwajima tumepaki nje lile washawasha! Hatutajali cha press wala pressure! Tutawatandika mpaka mchakae!Nakunywa gahwa mixer na tangawizi najaribu kusogea uelekeo Ubungo...Leo mtaniona BBC au AL Jazeera...nimevaa kijikoti kimeandikwa PRESS