englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,211
Kwanini Africa tu? Wanaozitenganeza hawatumii kama hivi
baba wamefanya africa sehemu ya biashara ndo maana ya kuchochea vita kila siku
Wanataka tumalizane wenyewe mwanangu. Kwani nani hapendi amani?
Wanataka tumalizane wenyewe mwanangu. Kwani nani hapendi amani?
Hodiiiiii!nimekuja kuchukua dhawadi yangu
amna baba na sisi ndo tufunguue macho tuache kukubali kila kitu
Kwanini Africa tu? Wanaozitenganeza hawatumii kama hivi
Ni hii vile?
baba sitaki
Mwanangu huyu Honey Faith kaniomba siku nyingi sana mpaka nikimuona naona aibu...na wewe unataka? Yakwako nzuri kuliko hii...nakuletea
ndiyo baba yangu mbona umempa chocolate
Ni hii vile?