Nipo Dilema hook me up! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nipo Dilema hook me up!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mtized one, Aug 26, 2011.

1. M

Mtized one Member

#1
Aug 26, 2011
Joined: Jul 27, 2011
Messages: 47
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
Nipo dilema wadau...nisaidieni mawazo,
Mimi ni sijaoa..umri unanitosha,
ishu ipo hivi nina girl frnd ambaye ananipenda sana coz nimepitia c2atn kibao still akastand na mim..at the same time kuna binti nampenda naye ananipenda sana ambaye nilimpanga akaelewa kuwa nina Gf tukaiba mwisho tukabrek up coz alishindwa kuwa 2nd chance...sasa utofauti wao nikuwa huyo anaenipenda ana akili za maisha while huyu ninayempenda she thnks life z too easy hana mipango...kitabia they both cool. NOW NATAKA NIOPOE KI1 YUPI

2. Nyani Ngabu

Nyani Ngabu Platinum Member

#2
Aug 26, 2011
Joined: May 15, 2006
Messages: 73,668
Likes Received: 35,418
Trophy Points: 280
Hiyo nyekundu maana yake nini?

3. payuka

payuka JF-Expert Member

#3
Aug 26, 2011
Joined: Jun 17, 2010
Messages: 832
Likes Received: 12
Trophy Points: 0

Situation! Mambo ya vijana hayo

4. Perry

Perry JF-Expert Member

#4
Aug 26, 2011
Joined: Feb 24, 2011
Messages: 10,029
Likes Received: 868
Trophy Points: 280
Ngoja nipge daku,ntarudi baadae.

5. Kaunga

Kaunga JF-Expert Member

#5
Aug 26, 2011
Joined: Nov 28, 2010
Messages: 12,591
Likes Received: 801
Trophy Points: 280
Je unaahidi au una mpango wa kuwa mwaninifu pindi utakapofunga pingu ya maisha?

If yes! Oa umpendaye!

If not! Oa anayefaa kuwa mke!

Don't ask me why! Just figure it urself!

6. Katavi

Katavi Platinum Member

#6
Aug 26, 2011
Joined: Aug 31, 2009
Messages: 39,475
Likes Received: 4,134
Trophy Points: 280
Oa umpendae wewe!

7. G_crisis

G_crisis JF-Expert Member

#7
Aug 26, 2011
Joined: Jun 19, 2011
Messages: 715
Likes Received: 62
Trophy Points: 45
Sasa hapo maamuzi ni yako,uchague mwanamke wa kula bata au wa ku-make life

8. Biohazard

Biohazard JF-Expert Member

#8
Aug 26, 2011
Joined: Aug 21, 2011
Messages: 2,002
Likes Received: 286
Trophy Points: 180
Kwa upande wangu kumshauri mtu ambaye sio mwaminifu siwezi. Ushauri wangu ni kuacha uasherati, kitendo cha ww kuwa na wapenzi wawili sio kizuri especially kwa yule 1st luv wako.
Pili huyo dada anayekubali kuwa na ww wakati anafahamu una mpenzu naye ni kicheche na sio cool kama inavyodai.

9. First Born

First Born JF-Expert Member

#9
Aug 26, 2011
Joined: Jul 11, 2011
Messages: 5,315
Likes Received: 96
Trophy Points: 145
acha ujinga usizinguliwe na uzuri wa sura.

10. M

Mtized one Member

#10
Aug 30, 2011
Joined: Jul 27, 2011
Messages: 47
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
Hapa ndio sehemu watu wanafika wanachelewa kuoa....hii naona imenikuta...ukiacha uzuri wa sura..hamna anayependa kibaya..its mater of perseption...& the girl nilikua na chit nae stil yuko available(single) til now... I hv prov of tht coz 4 the time being we ar JUST FRIENDs..and she z so strictly on that term.."FRIENDS" hadi nitakapo mak dicision btn them...& I care both f 'em.Who to have..
Am stil in Dilema ...can I be with the one who lovs me too much or otherwise?
I need ua advise brothrz & sisters.

11. M

Mtized one Member

#11
Aug 30, 2011
Joined: Jul 27, 2011
Messages: 47
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
Suala la uaminifu ni kitu kingine mdau..cwez semea hilo..Pili- Huwez mwita kicheche while inadepend najinc nilivyomwingia til the day namtaarifu abt mwenzake..it was late to her....3rd...Ukiwa mwanaume kuna vitu abt thz utanielewa ndugu yangu huwezi kusema uaminifu coz dah!..its Man nature to Concure...its a man theme..thats how we are we can love 1 & atracted by another at he same time..Plz don't judge in -ve way.

12. M

Mtized one Member

#12
Aug 30, 2011
Joined: Jul 27, 2011
Messages: 47
Likes Received: 0
Trophy Points: 0

Ninachoweza sema ni kuwa Nitamjali mke wangu nakumpa nafasi na vyote anavyostahili vitakavyokua ndani ya uwezo wangu.Natumaini hivyo na Mungu anisaidie japo najua lina changamoto zake.

13. Yasmin

Yasmin JF-Expert Member

#13
Aug 30, 2011
Joined: Jul 28, 2011
Messages: 242
Likes Received: 1
Trophy Points: 0

just follow ur heart

14. BADILI TABIA

BADILI TABIA JF-Expert Member

#14
Aug 30, 2011
Joined: Jun 13, 2011
Messages: 30,876
Likes Received: 6,230
Trophy Points: 280
oa wote

15. N

Nehondo JF-Expert Member

#15
Aug 30, 2011
Joined: Aug 14, 2011
Messages: 311
Likes Received: 4
Trophy Points: 35

hiyo 'WE' ni wewe na nani? Ila oa ambaye unampenda sio unayemtamani maana unayemtamani utamkinai utatamani mwingine tena

16. Mamaya

Mamaya JF-Expert Member

#16
Aug 30, 2011
Joined: Jul 4, 2011
Messages: 3,726
Likes Received: 447
Trophy Points: 180
Acha tamaaa mbaya,acha tamaaaa mbaya.

17. dazu

dazu JF-Expert Member

#17
Aug 30, 2011
Joined: Feb 26, 2011
Messages: 365
Likes Received: 5
Trophy Points: 0
Unatuuliza ......unatutega? Maana wewe ndo unawafahamu. Lazima kuna jibu unalotamani tukupatie. Ua umpendaye kaka!

18. t

tonyk2 Member

#18
Aug 30, 2011
Joined: Nov 16, 2010
Messages: 40
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
Mwanamke mzuri nihuyo ambaye umepitanae katika hali tofauti aka stand huyo ambaye alishindwa kuvumilia akakuacha huyo hafai kwani ikitokea shida atasepa sasa amua mwenyewe. wanawake wengi wanapenda mazuri tu yakikutokea mabaya wanakukimbia sasa kuwa makini.

19. Zogwale

Zogwale JF-Expert Member

#19
Aug 30, 2011
Joined: Jul 10, 2008
Messages: 11,613
Likes Received: 825
Trophy Points: 280
Huyu ni mzinzi tu anapoteza muda wa Great Thinkers hapa. Yaani unabahatika unampata GF anakupenda na kuwa nawe katika hali zote halafu unachezea shilingi chooni? Ngoja shilingi itumbukie chooni halafu ushuke huko ukaiokote. Kila la hari na umalaya wako.

Loading...