Nipo dar nataka huawei y300 (laki 20 ipo)

Angalia vizuri hizo huawei kawaida inabidi iwe na 4 gb internal memorry ila kuna nyingi ni 1 au 2 gb
na pia mfuniko lazima uwe na mistari mistari usiwe plane na kusiwe na tangazo nyuma ya hiyo simu ukishindwa kupata nipm
 
Hizo zako unauzaje?
 
Njoo kwangu uchukue BLACKBERRY 8520 kwa buku 90 tu....u save 30.....ni smartphone na unaweza tumia whatsapp na BBM
 
umepata cm huawei? nitafute nnayo very good condition 0655143404 watsap
 
Back
Top Bottom