Mkuu sungura wa kisasa unauzaje?Ninao sungura wakisasa tuwasiliane 0763370175
Nahitaji kisasa na chotaraUnaitaji wa aina gani?
1) kienyeji
2) kisasa
3) Chotara
Karibu sana
Unauzaje hao wa kienyeji?Mi ninao wa kienyeji wako Chanika kama utahitaji tuwasiliane 0783772809
huu sasa wizi wa mchana.Sungura wa kisasa wanauzwa kwa 75000 kwa mmoja na wanapatikana kwa order .kuna aina 2 za sungura amabazo zinapatikana hapa Tanzania
1.Calfonia
2.Newzaland
Zinapatokana kwa order iliuone faida ya kufuga nilazima uwe na sungura wa kutosha .sina hakika na hali ya hewa ya Dar kama inaweza kufanya vizuri katika hizi aina mbili za sungura ila kwa Nairobi wamefanya vizuri