Nipo chuo mwaka wa pili,nasomea ualimu wa sanaa,nataka kuacha chuo

If you think you have the best alternative a part from schooling...Go ahead

Drop it down...make the best of opportunities that you might have seen..

Life is choice! Make choice today!

Transcend
 
Utakuta dume zima linasomea kufundisha History au Civivs, bora uache tu
Civivs ndio kitu gani?
Bora huyo anayesomea kufundisha history kuliko wewe mwenye elimu ya hapa na pale ambaye huwezi hata kuandika neno Civics.
 
jamani kwani kweli hawataajili walimu wa hati daaaaa presha imepanda gafla
 
Kwa kweli mama Ndalichako kachafua kabisa wizara ya elimu! Kuna haja ya bunge kutunga mswaada kusimamia wizara ya elimu.
Hii itasaidia sana wanasiasa kutuharabia mifumo yetu ya elimu maana kila waziri anayepewa wizara ya elimu anakuja yake.
 
Usiwe bwege wewe, maliza chuo kila kitu kitajurikana mbeleni huko.
Hadi siku hizi kuna vijana wanasomea kozi kama bba,pspa,sociology etc lakini wanasoma kwa imani wala hawaachi chuo.pia kuna shule za private nyingi ambazo wanalipa vizuri kuliko huko kwa ndalichako.
 
We malizia tu maana hii serikali haieleweki kesho unaweza ukasikia tunataka walimu wa michezo mara keshokutwa tunataka walimu wa mapishi
 
Malizi
Hellow wana jamvi mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu kimoja hivi hapa nchini,Nipo mwaka wa pili sasa semester yangu ya tatu.Nasomea ualimu wa masomo ya Arts yaani HIstory na Geography.
Kiukweli niliamua kusomea ualimu kwa lengo la kupata ajira,kwani ukiangalia mimi ni mtoto wa maskini nimesoma shule ya kata, kimbilio langu lilikuwa ni ualimu ili niweze kuajiriwa nikomboe familia yangu.

Hivi juzi waziri wa elimu amesema srikali haitaajiri walimu wa masomoya sanaa, na nikiangalia mbele yangu kuna Batch kama tatu hivi ambazo zitasota mtaani, Sasa mimisitaki shida na kujipa presha ,hii ndo semester yangu ya mwisho ,nikifanya UE mazima sirudi tena chuo maana lengo langu limevurugika hata kama nikiendelea kusoma najipotezea muda tuu.
Malizia tu jamaa yangu kumbuka hii nchi sio yao peke yao
 
Nasikitika kuona vijana wanakosa mahalifa, kumbuka kuwa utakapopata hiyo degree ya ualimu itakusaidia kuendelea kutafuta master nyingine tofauti na ualimu malengo yako yatatimia. Piga kitabu endelea na semester inayofuata. Kuna waalimu wengi Sana wanastaafu kazi Ujuwi bahati yako ipo wapi, aimaanisha kuwa waalimu wa art hawataajiriwa, watapata kazi mfumo umebadilika. Miaka ya nyuma Accountants walikuwa wanapata ajira moja Kwa moja nahisi walikuwa wanaandika Barua kupeleka hazina wanachagua sehemu wanayokata kufanya kazi . Utaratibu ukabadili baada ya kuwa wengi wahitimu. Ndicho kilichotokea Kwa waalimu wa Art
 
Hellow wana jamvi mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu kimoja hivi hapa nchini,Nipo mwaka wa pili sasa semester yangu ya tatu.Nasomea ualimu wa masomo ya Arts yaani HIstory na Geography.
Kiukweli niliamua kusomea ualimu kwa lengo la kupata ajira,kwani ukiangalia mimi ni mtoto wa maskini nimesoma shule ya kata, kimbilio langu lilikuwa ni ualimu ili niweze kuajiriwa nikomboe familia yangu.

Hivi juzi waziri wa elimu amesema srikali haitaajiri walimu wa masomoya sanaa, na nikiangalia mbele yangu kuna Batch kama tatu hivi ambazo zitasota mtaani, Sasa mimisitaki shida na kujipa presha ,hii ndo semester yangu ya mwisho ,nikifanya UE mazima sirudi tena chuo maana lengo langu limevurugika hata kama nikiendelea kusoma najipotezea muda tuu.
Nilisomea ualimu ili niajiriwe sio kujiajiri, sikujiandaa kujiajiri kupitia ualimu,

Sitaki shida na ndalichako, sitaki shida na magufuli, Narudi zangu kijini waridhike wao, maana furaha yao ni kuona vijana tunaangaika mtaani.
NB:jueni kwamba asilia kubwa ya vijana wanaokimbilia kusomea ualimu ni watoto wa maskini

Serikali ya matamko itapita; miaka 5 au 10 sio kizazi kamili (generation); hata kama tamko la Chako lingekuwa sheria, linaweza kubadilishwa wakati wowote kama tamko la mkurugenzi wa NMRI Mwele Malecella kuhusu ZIKA! malizia cheti chako ukae nacho, huwezi jua kesho itakuja na lipi, pambana kamanda, kesho yaweza kuwa bora kwako na familia yako!
 
Kwani hapa panazungumziwa kufuta masomo ya sanaa au kufutwa ajira kwa walimu wa Sanaa!!!

Hiyo ndio hidden factor kama hamna ajira tz basi hakutakuwa na sababu ya kuwepo hayo masomo ni sawa nakuanzisha degree ya nuclear tz nia na madhumuni watu wakimaliza waende wapi kwa hivyo kama hakuna ajira au malengo ya mbele hakuna maana pia ya kutoa hiyo elimu
 
Hellow wana jamvi mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu kimoja hivi hapa nchini,Nipo mwaka wa pili sasa semester yangu ya tatu.Nasomea ualimu wa masomo ya Arts yaani HIstory na Geography.
Kiukweli niliamua kusomea ualimu kwa lengo la kupata ajira,kwani ukiangalia mimi ni mtoto wa maskini nimesoma shule ya kata, kimbilio langu lilikuwa ni ualimu ili niweze kuajiriwa nikomboe familia yangu.

Hivi juzi waziri wa elimu amesema srikali haitaajiri walimu wa masomoya sanaa, na nikiangalia mbele yangu kuna Batch kama tatu hivi ambazo zitasota mtaani, Sasa mimisitaki shida na kujipa presha ,hii ndo semester yangu ya mwisho ,nikifanya UE mazima sirudi tena chuo maana lengo langu limevurugika hata kama nikiendelea kusoma najipotezea muda tuu.
Nilisomea ualimu ili niajiriwe sio kujiajiri, sikujiandaa kujiajiri kupitia ualimu,

Sitaki shida na ndalichako, sitaki shida na magufuli, Narudi zangu kijini waridhike wao, maana furaha yao ni kuona vijana tunaangaika mtaani.
NB:jueni kwamba asilia kubwa ya vijana wanaokimbilia kusomea ualimu ni watoto wa maskini
Acha..jifanye kichaa tu uje ona balaa lake..
 
Wacha ujinga dogo embu kasome huko..kwanza sijuu JF wafanya nini now badala ya kwenda kusoma..
 
Na zile course ambazo wahitimu hawaajiriwi na serikali moja kwa moja kama walimu wangekuwa wanasema hivohivo unadhani huko vyuoni kungekuwa na wanafunzi wote hao au hizo course.
Mimi mwenyewe ni muhanga mdogo wangu hivyo komaa endelea na chuo maisha ni zaidi ya kuajiriwa serikalini.
Usiache kusoma kwakuwa eti hutaajiriwa moja kwa moja serikalini.
Huwezi jua huko mbele itakuwaje yawezekana kipindi unamaliza wewe uhitaji ukawepo ukaajiriwa hivo usikate tamaa.
Pia shule za private zipo utaapply.
Mimi sioni sababu ya wewe kuacha chuo bado.
 
Never, kwani hii serikali ni ya milele, itakuja ingine wataajiliwa. Usimpotoshe. Ndio maana Bukoba elimu inarudi nyuma. Kwenu wapi? Kanyigo? Kiziba? Nshamba?
Haaaa haaaaa ....atakuwa mziba huyu! Huwa wana karoho flani hivi amazing!
 
Dah....kiukwel inauma na inaker san sasa na ss wenye certificat za ualimu tutishia wap jmn mbn maish yashatupig bao jmn ,,,,najut kwnn nmesom maan ctakuw tofaut na amby ajasom kbx ,,,,.
Kiuandishi hamna tofauti.
 
Back
Top Bottom