Nipo Bunda kupumzika

Nipo Bunda kupumzika

Nipo Bunda kupumzika kwa wiki nzima.Pia nitakuwa nawatembelea baadhi ya rafiki zangu ambao wamestaafu kama mimi na wanaishi mbali kidogo na mji huu.

karibu hapa Migungani msibani, tuko hapa tunaomboleza kwa x Eng Boniface Nyamo- Hanga
 
Nipo Bunda kupumzika kwa wiki nzima.Pia nitakuwa nawatembelea baadhi ya rafiki zangu ambao wamestaafu kama mimi na wanaishi mbali kidogo na mji huu.
Wasalimie hapo matapeli wa Kiikizu maneno 1000 wanaokaa hapo stand ya zamani, opposite na NMB.

Waambie tabia za kishamba
 
Kula chuma hiko..🙄🙄..

Umekutana nacho mtani 😅😅😅
 
Nipo Bunda kupumzika kwa wiki nzima.Pia nitakuwa nawatembelea baadhi ya rafiki zangu ambao wamestaafu kama mimi na wanaishi mbali kidogo na mji huu.
Mkuu usisahau kufika kinaitwa Kijiji kinaitwa Bulenda Buffe kuna Mandhari nzuri sana ni kama Ras fulani amazing japo hapana uwekezaji wowote nilipaona kamani sehemu ya mifugo kula majani tuu
 
Ila bunda mji moja umekaa kishamba sana kuanzia mpangilio wa mji na hata huduma yaan maduka yamekaa hovyo hovyo na kama sio mwenyeji unaweza dhani hakuna huduma muhim kumbe zipo ila mpangilio ndo jau
 
Mkuu usisahau kufika kinaitwa Kijiji kinaitwa Bulenda Buffe kuna Mandhari nzuri sana ni kama Ras fulani amazing japo hapana uwekezaji wowote nilipaona kamani sehemu ya mifugo kula majani tuu
ntamwambia mwenyeji wangu anilete
 
Walikuliza?Mjini wali-nyama.
Noo.

Nilipakia mzigo wangu, kwenye vile vigari uchwara vinatoka Nyamuswa nikalipa nauli, ila nilipofika wakataka nilipie tena mizigo.

Tutakukana na vijikiizunvya kishamba hapo kiswahili feki, vikawa vinapiga kelele kwasababu ya buku.

Nadhani ni vipoga debe ,mateja wa pombe za kupima.
 
Back
Top Bottom