Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 49,734
- 89,326
Nimesafiri kwa sasa.Ñipo hapa Suruti mitaa ya Namtumbo,Songea bin Ruvuma.anhaaa kumbe Bunda nao mpo humu nilidhani pekee angu Tu
Nimesafiri kwa sasa.Ñipo hapa Suruti mitaa ya Namtumbo,Songea bin Ruvuma.anhaaa kumbe Bunda nao mpo humu nilidhani pekee angu Tu
Naona alikuwa anatumia hiyo Nyamo-hangaNyamo-Hanga
Nyamohanga✓
Waikoma wakarimu kama tanga vile.....haukubatika kufika ikoma robanda?Nisalimie binti mmoja wakikoma anaitwa Angel, alinikilimu vizuri sana miaka fulani hapo, binti mtamu kweli na burudani anaiweza.. Sio mbaya nilimuacha vizuri naye kama asante yake.
Pongezi nyingi sana kwa Wadigo, Wazaramo, Wakwere, Waluo na Wakoma.
Pale kisorya wale wachoma nyama bado wapo? Dah nyama inachomwa pale aisee.
HiviNaona alikuwa anatumia hiyo Nyamo-hanga
huko sijafika nina programu maalumu ya kufanya na mwenyeji wangu,sitaweza kufika kila sehemuWaikoma wakarimu kama tanga vile.....haukubatika kufika ikoma robanda?
Karibu mwanza.....karibu Bunda TTCBado nipo hapa bunda mjini kwa mwenyeji wangu na nitakaa hapa kwa siku 3 zaidi ndipo ntarejea mwanza
Hapo bunda ttc ntafika kutembeaKaribu mwanza.....karibu Bunda TTC
shukran