Nipo bukheri wa afya

kiongozi,
kuna uzi niliuona humu ulikuwa ukieleza kuwa umefariki zaidi ya wiki moja sasa.
 
Naomba nikujibu tu kwa ujumla wake kwamba kuna baadhi ya matukio nimekuja kuyasoma kwenye mitandao kwa mfano la kijichi
Hili la scorpion wakati naondoka ndio lilikuwa bichi kabisa
Sikuwa hewani kwa sababu maalum na za binafsi sana na kuna kipindi nilisafiri sehemu ambapo hata kuwa na simu haina maana kwakuwa simu hazikukuhitajika huko! Kulikuwa na namna nyingine ya mawasiliano
Nipo nimerejea nitegemee yule yule
 


Mzee asiejulikana amedaiwa kuanguka na ungo maeneo ya Mtoni Kijichi jijini Dar, pichani maiti ya mzee huyo ikishushwa ktk Gari ya polisi na kuihifadhi maiti katika mortuary ya Temeke Hospital
[emoji33][emoji33][emoji33]
Ivi kumbe ungo unaotumika ni ungo u u!!
 
Miss u.[emoji8]
 
Mkuu Mshana karibu nyumbani natumai wewe haukuanguka kama mjumbe wenu pale kijichi
 
mkuu umerudi umejishuhudia mwenye kuna jamaa nili mpm akaniambia majini yamemshinda nguvu
 
kuna watu walianzisha nyuzi humu kuwa mshana jr umefariki bahati nzuri Moderator waliufuta,nami ilikuwa kidogo nikucheki ofisini kwako pale Tumbi.Ila yule dogo aliyetoa mada umefariki sijui amechukuliwa hatua gani na uongozi wa Jf
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…