Picnic wahudumu wana shifts kama manesi kukagua wagonjwa.... Toto zina paja Kama Kroiler iliolishwa ngano, lainiiiiiii...
Damn! Bring Back My Old A Town
Duuh linamaanisha nini kwenuAhsante ila 'aseeh' kwetu ni tusi
Siku hizi Kuna Pick nick Karibu na hapo ni nomaaa aiseee.Ukafanye uchunguzi sehemu moja ipo mitaa ya Kaloleni panaitwa Shivaz. Muda huu watakuwa wanafanya usafi. Muda mzuri kuanzia saa mbili usiku. Nakutahadharisha tu uende na kisimu cha tochi.
Siku hizi Kuna Pick nick Karibu na hapo ni nomaaa aiseee.
Hahaa watamsachi hawatakagi ujinga wale.Na watoto Wa Ngarasero muda mibovu
Acheni uzushi Atown ni sehemu salama kama ni wezi wapo kila kona ya Tanzania hasa majiji
Mfuko wana topaz na bisibisi kama waziba panchaHahaa watamsachi hawatakagi ujinga wale.
Ipo tena inabamba sanaPin point club bado ipo?
Mkuu unaishi Arusha? Umeitaja Ngarasero umenikumbusha mbali
Njereez Bistro Ipo Leganga na Picnic Ipo town centre.NJEREEZ BRISTO NAPICNIC ZIPO SEHEMU GANI
Njerees bistro ipo Leganga UsariverNJEREEZ BRISTO NAPICNIC ZIPO SEHEMU GANI
Mmmh acha uongoDaby Mzee wa kupendwa na madem wa Jf!!
Me manyatta ni jengo linaitwa pin point ni club chalii!
sanawari ziko mara 2 kuna sanawari ya uzunguni mkuu,hiyo sanawari chini ya mataa mpaka AICC na Mt Meru hosp.tangu lini Sanawari kukawa kwa matajiri mkuu