Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 22,856
- 32,659
- Thread starter
- #41
I mean hata sareLeo mambo ya point hayapo, ukilewa usipost mkuu.
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
I mean hata sareLeo mambo ya point hayapo, ukilewa usipost mkuu.
Huchoki kuomba ban tangu simba ipo group stage?Wakuu Baada ya kujifungia miezi mitatu nikichambua kikosi heavyweight Cha RS berkane na kikosi hafifu Cha Simba El de makolo nimekuja ku draw conclusion Kwamba
Mvua ya magoli mengi ....itashuka Kwa Simba since berkane yupo daraja la juu Kidgo kuliko Simba .......daraja la berkane ilitakuwa ikutane na Yanga .....hapa mizani ingebalance
NB: Ni mjinga tu ataamini Kwamba Simba ( weak team) leo itapata matokeo Kwa berkane ( the giant)
SIMBA IKIPATA POINT YEYOTE LEO ..... NIPIGWE BAN SIKU 2.....maana ntakuwa nimeaibisha tasnia ya uchambuzi View attachment 3336748
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Yajayo yanatisha pale u-koloniToka Simba ameingia CAF Confederation cup nyuzi zako zote ni kutaka kupigwa kila mechi ya Simba akicheza na timu pinzani.
Ika nashukuru JF Moderators walikuwisha kukudharau kwa vile wewe ni kati ya wasio na akili waliitajwa na Manara ndanibya Yanga.


Mbaraga na kitmotoMwaisa .. umeshashiba mbaraga zako Sasa unaanza kusumbua watu.
Haya me ngoja nisubscribe Uzi wako. Badae jion ntakuja.


Ujue ni serious issuesUtopolo hamna amani kabisa. Huu ni uzi wa 21 wa aina hii
Kiuchambuzi ni yes....Point gani tena? Kwani Simba anatafuta point au?
I'm a PhD holder pale Cambridge universityMada ya ki-undergraduate hii!!
,Umeshaukimbia mtego uliojitegea mwenyewe.huwezi kupigwa ban maana hatua hii hawashindanii point tena bali kombe!


Karibuni mkuu....Mechi ni fainali hakuna kupata points...
Tutarudi kwenye uzi wako baada ya dak 90
Unajuaje .....labda mi ndo jf ownerKwakua sasa nina cheo humu jamiiforum, naweza kusema safari hii hatutakupiga ban peke yake itabidi tukupige hadi zongo![]()


Yajayo yanatishaUsitutishe
By Maalim Seif Sharif Hamad
Hapana mkuu....wala tunawatakia mazuriUtopolo mnaweweseka sana na mnyama.
Sijui uto mnahusikaje na mechi ambayo hampo hata kwenye hayo mashindano.
Mabingwa wa muungano tulieni na kombe lenu.
Hakikisha unamupa ya mwaka mzimaUje chumbani nikupe kodi unayodaiwa
Mkuu Kwa uwezo nlionao .... naweza finance ukoo wako mzima na ukoo wa mkeo combined Kwa miaka yote mtakayoishi dunianiKwanza kabisa msihanaike sana na huyu mtu.
Mwandiko wake unaonexha kabisa yeye ni mhitimu wa class seven,
Aina ya simu yake anaonekana kuwa mwenye njaa.
Sa uliwahi kuona wapi mwenye njaa akaongea jambo la maana.
Nb.
Asilaumiwe coz kule Utopoloni wote ni mbumbumbu kasoro wawili tu ndio wenye akili.
Inasaidia nini?Toa ahadi nzuri hata ya kujiua tu.


Kina nani mkuuWee huponi tenaa, bas wameshachelewa. Lol