Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 22,856
- 32,659
- Thread starter
- #61
Sio Kwa Simba ..kupata matokeoMzee unazitafuta ban hatari mpira una matokeo ya kikatili sana.
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Sio Kwa Simba ..kupata matokeoMzee unazitafuta ban hatari mpira una matokeo ya kikatili sana.
Wenzio waliahidi mavi kwamba simba ikifika fainali watakunya, mavi hadharani ila ilipofika fainali tukawaomba mavi wakasema hawajala, hapo ndio nilijiridhisha kuwa mashabiki wa yanga wengi ni Madishi


Ya abiola cupHivi umesahau kuwa Simba tayari wana medali?
Hata sare hampatiUto mwenzangu mechi ya leo hakugawiwi point, kunaangaliwa aggregate goals kwa mechi ya leo na Ile ya tarehe 25/05/2025 pale New Amaan Complex. Katibu siku hiyo, Urojo,Manda,Bobwe, Kaimati, Ladu, Togwa, Visheti, Faluda,mkate wa kumimina,Kababu,doriani na shokishoki.
mukiendelea na huu mwenendo ipo siku mtasema mpigwe kidole na sio ban tena



Ndo NiniHapana mm nataka tuku**re ndio itapendeza
Yajayo yanatishaKweli pumbavu utalijua tu aliekuambia SIMBA anataka point ni nani?
Mitambo yangu ya utabiri ilikuwa hackedHuchoki kuomba ban tangu simba ipo group stage?
uko ni mad tu mmejaa
Simba nafasi ya 4 kwa ubora Afrika huku Berkane nafasi ya 5.Wakuu Baada ya kujifungia miezi mitatu nikichambua kikosi heavyweight Cha RS berkane na kikosi hafifu Cha Simba El de makolo nimekuja ku draw conclusion Kwamba
Mvua ya magoli mengi ....itashuka Kwa Simba since berkane yupo daraja la juu Kidgo kuliko Simba .......daraja la berkane ilitakuwa ikutane na Yanga .....hapa mizani ingebalance
NB: Ni mjinga tu ataamini Kwamba Simba ( weak team) leo itapata matokeo Kwa berkane ( the giant)
SIMBA IKIPATA POINT YEYOTE LEO ..... NIPIGWE BAN SIKU 2.....maana ntakuwa nimeaibisha tasnia ya uchambuzi View attachment 3336748
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Wewe mnafiki kama sisiem.Mshabiki damu damu wa Simba SC, naahidi Simba SC isiposhinda mechi zote 2 na kubeba ubingwa wa CAFCCL 2024/2025 nipigwe ban JF milele.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Hapana, mi ni Simba SC Fan damu damu, naomba uniamini hata kama nakudanganya Mkuu.Wewe mnafiki kama sisiem.
Yanga moja hio.