Naanza kuichukia JF sasa panafanana na kijiweni hapa, nimetoka hapa na mm nikaenda kudai kwa wife kama nilivyoyasikia kwa Midavudavu, basi we mpaka sasa hv nanyimwa forbidden fruit na nimechanganyikiwa naona umuhimu wa nyumba ndogo japo hapo awali nilibisha sana
Mapenzi ya wanawke wa tanga hayo, nenden mkajionee!Wamelelewa ktk mazngra hayo, UTAMADUNI tu!Japo wachache wana uwezo wa kufanya hvo,mkuu endlea kula raha unapohtaj uktaka uhuru tel her!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.