Nipeni uzoefu wenu wanawake wote wa kidigo ndivyo walivyo au wangu ni wa pekee?

ona sasa msipopendwa ooooooooooooh ooooooooooooooh mnapendwa jamani eeeeh jamani eeeeh...........tulia mtoto wa kiume faid kabla hujafa!
 
wewe kaka utakua na kisukari kama sio ule ugonjwa unaoambukizwa na nzi
kua mjanja atakuja kukushika naniiiiwewe ops sory nilikua namaanisha masikio
 
Mapenzi ya mwezi mchanga! Ngoja uishiwe ndo utajua maana ya neno mdigo ni"MZIGO"
 
Yas mapenz hyo ypo but watu hao pia huamin sana madawa kwa waganga,be carefuly,then hongera kwa kupendwa hadi kupitiliza
 
Naanza kuichukia JF sasa panafanana na kijiweni hapa, nimetoka hapa na mm nikaenda kudai kwa wife kama nilivyoyasikia kwa Midavudavu, basi we mpaka sasa hv nanyimwa forbidden fruit na nimechanganyikiwa naona umuhimu wa nyumba ndogo japo hapo awali nilibisha sana
 
Mapenzi ya wanawke wa tanga hayo, nenden mkajionee!Wamelelewa ktk mazngra hayo, UTAMADUNI tu!Japo wachache wana uwezo wa kufanya hvo,mkuu endlea kula raha unapohtaj uktaka uhuru tel her!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom